Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Hahah!! Utamuweza huyuMie pia nahisi kama anagoogle hayo mapicha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah!! Utamuweza huyuMie pia nahisi kama anagoogle hayo mapicha.
Hahah!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu unakaribishwa msosi na Duke Tachez hahahaha kula pamoja ujue msosi unaenda fresh sana .[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Safi sana shem Jolie Jolie nashukuru kwa kumuonesha mapishi huyu ndugu yetuAsante kwa ugali mke wangu..nimeshiba vizuri sanaView attachment 746482
Shem bhn huo utumbo gani haueleweki kabisa naona una samaki humo humo[emoji23] [emoji23] shem huoni utumbo wa ng'ombe kabisa unameremeta kwenye futa
Mtoto wa kitanga huyu mapishi anayajua sana tu najua alikua anazinguHahahaha mkuu akufukuzae hakwambii toka matendo yake tu mwenyewe huyooooo hahahahaha
Ila najua anakutania mkuu hawezi akakupikia madude kama hayo, kwanza huo ujasiri anautoa wapi?? Eti Sister Hajar Hahahahahaha
Mkuu kwa msosi huo utanisamehe maana hiyo mixer na mafuta yalivyojaa kama mafuriko ya jangwani[emoji3]Mkuu unakaribishwa msosi na Duke Tachez hahahaha kula pamoja ujue msosi unaenda fresh sana .
Mwenyewe unaona sifa kwa huo ulaji wa vyakula vya ovyo!Nipeni maoni leoView attachment 746412
Hahahahahahaha, sio kwa mchanganyiko huo mkuuMkuu kwa msosi huo utanisamehe maana hiyo mixer na mafuta yalivyojaa kama mafuriko ya jangwani[emoji3]
Ni balaaHahahahahahaha, sio kwa mchanganyiko huo mkuu
Mke wangu yupo vizuri anakuzidi hadi weweNaona kitimoto, samaki, utumbk. Hiyo mix mmmh
Mmmmhhhh!!!! Govi tenaPia nimeona nyama ya [emoji200], nahivyo vilivyojikunya kama govi sijui ni nini tu?
Mimi mume wangu hali hayo machakula.Mke wangu yupo vizuri anakuzidi hadi wewe
Mbona fresh tuKwa mseto huo mkeo kiboko aisee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo kama ndio umetapika kwa bahati mbaya mbele ya umati wa watu hawawezi kuelewa kama chakula hicho amekula mtu au kiumbe kingine kinachokula ovyo kama vile nguruwe
Umeona samaki na niniHahahaaa. Mie nimekosa jibu Kaka angu sababu huu leo ni mchuzi wenye kila aina ya kitoweo maana hadi samaki nimemwona humo.
Yupo poa hana shida[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi huyo mkeo ana shida gani.?