Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
- Thread starter
- #481
Hahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemtaftia mwalimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungemuuliza ukute amempikia mbwa
Duu mbwa tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ungemuuliza ukute amempikia mbwa
Guys mayai mm napita nayo mbali sana. Maana kabla sijaoa nlikuwa nakula mayai tu. Nlikuwa ndo nimeanza tu kazi miaka ya 2008, mshahara nliuona mkubwa tu kama laki5.5 hivi and nlikuwa peke yangu, na room yangu moja tu ambayo ilikuwa ndani ya nyumba na nliishi na mwenye nyumba humo humo. Inshort alinichukulia kama mtoto wake. But target yake kumbe nioe mtoto wake. Nlivyooa tu nikapewa nitisi. Asubuhi. Nachemsha maji ya kuoga naweka mayai 2 owenye birika la kuchemshia maji. Nikiwa naoga yanabaki kwenye sahani yanapoa. Nikila naondoka zangu job. Saa nne na nusu vitumbua 3 yai moja na chai nzito ya maziwa, mchana wali ama ugali ,mboga ni mayai2 na youghurt maziwa, usiku wali ama ugali na mboga ni mayai ama nyama. Haya ndo yakawa maisha yangu for 3 yrs kabla sijaanza kuishi na mpenzi wangu, maana nlimpa mimba 2006 tukiwa chuo. Na baadae 2013 kufunga ndoa. Outcome nliota maziwa yakawa makubwa kama ya baunsa, uuuwi nikaambiwa sababu ya mayai, but nlikuwa nakula ya kienyeji, pia nikanenepa sana na mwili ukawa na cholestrol nyingi.nikachukia mayai totally huwa nayala marachache sana
Ni maziwa peke yake yaliongezeka ama na makalio pia?Guys mayai mm napita nayo mbali sana. Maana kabla sijaoa nlikuwa nakula mayai tu. Nlikuwa ndo nimeanza tu kazi miaka ya 2008, mshahara nliuona mkubwa tu kama laki5.5 hivi and nlikuwa peke yangu, na room yangu moja tu ambayo ilikuwa ndani ya nyumba na nliishi na mwenye nyumba humo humo. Inshort alinichukulia kama mtoto wake. But target yake kumbe nioe mtoto wake. Nlivyooa tu nikapewa nitisi. Asubuhi. Nachemsha maji ya kuoga naweka mayai 2 owenye birika la kuchemshia maji. Nikiwa naoga yanabaki kwenye sahani yanapoa. Nikila naondoka zangu job. Saa nne na nusu vitumbua 3 yai moja na chai nzito ya maziwa, mchana wali ama ugali ,mboga ni mayai2 na youghurt maziwa, usiku wali ama ugali na mboga ni mayai ama nyama. Haya ndo yakawa maisha yangu for 3 yrs kabla sijaanza kuishi na mpenzi wangu, maana nlimpa mimba 2006 tukiwa chuo. Na baadae 2013 kufunga ndoa. Outcome nliota maziwa yakawa makubwa kama ya baunsa, uuuwi nikaambiwa sababu ya mayai, but nlikuwa nakula ya kienyeji, pia nikanenepa sana na mwili ukawa na cholestrol nyingi.nikachukia mayai totally huwa nayala marachache sana
Mapishi sio mafuta...
Ulivyokuwa unapiga hii picha hajakuona?
Farkhina mambo?Thank you [emoji1431]
Farkhina mambo?
Nataka mchumba nimlete kwako aongeze ujuzi wa mapishi
Angalia huyu jamaa asije kukuoa wwPoa mlete tu wifi yangu
Angalia huyu jamaa asije kukuoa ww
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ni noma.
Mkewe ni mtaalamu...anaona kabisa mume ni muendesha gari kubwa (rejea avatar ya mleta mada), magari amabayo yanahitaji msuri hasa linapokuwa na matatizo...za kaona amuongezee 'nishati' ya kutosha kwa ajili ya kuimarisha msuri.pili mafuta ni mengi sana
Narudia tena huyo katumwa kuondoa uhai wako..kuwa nae makini sana
EMapumbu ya mbuzi
Pole
[emoji23]