Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Guys mayai mm napita nayo mbali sana. Maana kabla sijaoa nlikuwa nakula mayai tu. Nlikuwa ndo nimeanza tu kazi miaka ya 2008, mshahara nliuona mkubwa tu kama laki5.5 hivi and nlikuwa peke yangu, na room yangu moja tu ambayo ilikuwa ndani ya nyumba na nliishi na mwenye nyumba humo humo. Inshort alinichukulia kama mtoto wake. But target yake kumbe nioe mtoto wake. Nlivyooa tu nikapewa nitisi. Asubuhi. Nachemsha maji ya kuoga naweka mayai 2 owenye birika la kuchemshia maji. Nikiwa naoga yanabaki kwenye sahani yanapoa. Nikila naondoka zangu job. Saa nne na nusu vitumbua 3 yai moja na chai nzito ya maziwa, mchana wali ama ugali ,mboga ni mayai2 na youghurt maziwa, usiku wali ama ugali na mboga ni mayai ama nyama. Haya ndo yakawa maisha yangu for 3 yrs kabla sijaanza kuishi na mpenzi wangu, maana nlimpa mimba 2006 tukiwa chuo. Na baadae 2013 kufunga ndoa. Outcome nliota maziwa yakawa makubwa kama ya baunsa, uuuwi nikaambiwa sababu ya mayai, but nlikuwa nakula ya kienyeji, pia nikanenepa sana na mwili ukawa na cholestrol nyingi.nikachukia mayai totally huwa nayala marachache sana

Mm mayai na vitumbua vikae mbali na mmi kabisa.

Kitafunwa sio lazima kiwe kitu kilichotumbukizwa kwenye mafuta, waweza kutumia mihogo ya kuchemsha, viazi vya kuchemsha, ndizi za kuchoma, karanga za kukaanga,

Vitafunwa vya kuchemsha ni Vizur sana
 
Guys mayai mm napita nayo mbali sana. Maana kabla sijaoa nlikuwa nakula mayai tu. Nlikuwa ndo nimeanza tu kazi miaka ya 2008, mshahara nliuona mkubwa tu kama laki5.5 hivi and nlikuwa peke yangu, na room yangu moja tu ambayo ilikuwa ndani ya nyumba na nliishi na mwenye nyumba humo humo. Inshort alinichukulia kama mtoto wake. But target yake kumbe nioe mtoto wake. Nlivyooa tu nikapewa nitisi. Asubuhi. Nachemsha maji ya kuoga naweka mayai 2 owenye birika la kuchemshia maji. Nikiwa naoga yanabaki kwenye sahani yanapoa. Nikila naondoka zangu job. Saa nne na nusu vitumbua 3 yai moja na chai nzito ya maziwa, mchana wali ama ugali ,mboga ni mayai2 na youghurt maziwa, usiku wali ama ugali na mboga ni mayai ama nyama. Haya ndo yakawa maisha yangu for 3 yrs kabla sijaanza kuishi na mpenzi wangu, maana nlimpa mimba 2006 tukiwa chuo. Na baadae 2013 kufunga ndoa. Outcome nliota maziwa yakawa makubwa kama ya baunsa, uuuwi nikaambiwa sababu ya mayai, but nlikuwa nakula ya kienyeji, pia nikanenepa sana na mwili ukawa na cholestrol nyingi.nikachukia mayai totally huwa nayala marachache sana
Ni maziwa peke yake yaliongezeka ama na makalio pia?
 
Muelekeze pia kuwa hupendi mafuta mengi na si mazuri kiafya. Tumia lugha ya upole. Kuposti hapa chakula alichopika mfano akipita huku akaona. Itakuwa umemdhalilisha na pia itamvunja moyo. Msaidie kwa mapenzi kama mkeo. Muelekeze aina ya mapishi unayopendelea
 
pili mafuta ni mengi sana
Mkewe ni mtaalamu...anaona kabisa mume ni muendesha gari kubwa (rejea avatar ya mleta mada), magari amabayo yanahitaji msuri hasa linapokuwa na matatizo...za kaona amuongezee 'nishati' ya kutosha kwa ajili ya kuimarisha msuri.
===
Mleta mada kapotez ela ha ha haaaa! (Nime 'joke' hivi kwa sababu hatujamsikiliza anayetuhumiwa kupika hivyo)
 
Back
Top Bottom