Yani wewe Mkuu ni mdini Sana na unachuki na hii dini....sipati picha unaishi nao vipi waislamu mtaani kwako.Taka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyo hovyo...
Umeona sehemu nimetaja dini humu?Yani wewe Mkuu ni mdini Sana na unachuki na hii dini....sipati picha unaishi nao vipi waislamu mtaani kwako.
Yaani vertified Islamphobic
Nenda kafigie acha unafki sasa ukileta hapa ndio patajisafisha, "kasafishe"Taka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyo hovyo...
Hao watu wanaotoka uswahilini utawatambuaje ili uwazuie ? Au wameandikwa usoni jina la mitaa wanayoishi ?Tangu lini watu wa uswahilini wakawa na ustaarabu.
Mlimani city wawe wanapiga marufuku watu wa uswazi kwenda hapo.
#MaendeleoHayanaChama
Yaani unampangia Mfanyabiashara wateja wa kununua bidhaa zake, utakua unakichaa cha umbwaTangu lini watu wa uswahilini wakawa na ustaarabu.
Mlimani city wawe wanapiga marufuku watu wa uswazi kwenda hapo.
#MaendeleoHayanaChama
Bandiko lako limemlenga nani?......sio leo tu ndio huko hivyo siku zoteUmeona sehemu nimetaja dini humu?
... sema ni mtazamo wa huku kwetu; kimsingi supermarket ni mahali pa wote.Tangu lini watu wa uswahilini wakawa na ustaarabu.
Mlimani city wawe wanapiga marufuku watu wa uswazi kwenda hapo.
#MaendeleoHayanaChama
Pole sana mfagiaji wa Mcity na mnakuaga wakali hasa mkianza kupiga deki [emoji23]Ustaarabu ni ustaarabu tu, hata kama kijinini hakuna super market, hicho kisiwe kisingizio cha kuleta umbwa umbwa sehemu zilizostaarabika
Ww jamaa ni mshamba sana kwanza inaoneka hujatembea kwenye majiji ya nchi za wenzetu walioendelea siku za sikukuu iyo ni kawaida sana hasa watu wakisherehekea sikukukuu.Taka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyo hovyo...
Hapo umeongea, hiki kitu hua nawaza sana nashindwa kuelewa jiji kubwa la Dsm linakosaje playground,Jiji limeshindwa hata kujenga playing ground na recreation center kwa ajili ya watoto , eti watoto wanategemea kwenda kujazana airport na mlimani city.wakati wa sikukuu
Biafra siku hizi ni sehemu ya kupark magariHapo umeongea, hiki kitu hua nawaza sana nashindwa kuelewa jiji kubwa la Dsm linakosaje playground,
Hapo hujaenda Airport utawakuta watoto kibao nao wanazurura tu maskini,
Enzi zetu tulikua tunakutana viwanja vya Biafra kulikua kuna michezo ya kila aina sijui waliwezaje.
Kuingia mule ni bure, na wengi nimegundua ni wazururaji tu, hakuna wateja paleYaani unampangia Mfanyabiashara wateja wa kununua bidhaa zake, utakua unakichaa cha umbwa
Aulizwe Mwinyi, aligawa viwanja vyote vya wazi kwa ajili ya kujenga misikiti.., sasa hivi hata pa kusherehekea iddi hakuna tena..Biafra siku hizi ni sehemu ya kupark magari
Viwanja vya wazi vyote wameuza