Leo Mlimani city imekuwa kama Tandale kwa mfuga mbwa, nyie wenzetu hamna ustaarabu?

Taka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyo hovyo...
Yani wewe Mkuu ni mdini Sana na unachuki na hii dini....sipati picha unaishi nao vipi waislamu mtaani kwako.

Yaani vertified Islamphobic
 
Umeona sehemu nimetaja dini humu?
 
Tangu lini watu wa uswahilini wakawa na ustaarabu.

Mlimani city wawe wanapiga marufuku watu wa uswazi kwenda hapo.

#MaendeleoHayanaChama
Hao watu wanaotoka uswahilini utawatambuaje ili uwazuie ? Au wameandikwa usoni jina la mitaa wanayoishi ?
 
Tangu lini watu wa uswahilini wakawa na ustaarabu.

Mlimani city wawe wanapiga marufuku watu wa uswazi kwenda hapo.

#MaendeleoHayanaChama
Yaani unampangia Mfanyabiashara wateja wa kununua bidhaa zake, utakua unakichaa cha umbwa
 
Jiji limeshindwa hata kujenga playing ground na recreation center kwa ajili ya watoto , eti watoto wanategemea kwenda kujazana airport na mlimani city.wakati wa sikukuu
 
Tangu lini watu wa uswahilini wakawa na ustaarabu.

Mlimani city wawe wanapiga marufuku watu wa uswazi kwenda hapo.

#MaendeleoHayanaChama
... sema ni mtazamo wa huku kwetu; kimsingi supermarket ni mahali pa wote.
 
Wabongo aisee.

Sikukuu watu wanakwenda kusheherekea kwenye maduka.
 
Ustaarabu ni ustaarabu tu, hata kama kijinini hakuna super market, hicho kisiwe kisingizio cha kuleta umbwa umbwa sehemu zilizostaarabika
Pole sana mfagiaji wa Mcity na mnakuaga wakali hasa mkianza kupiga deki [emoji23]
Hapo mvumilie hadi kesho kutwaaaaaa
 
Taka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyo hovyo...
Ww jamaa ni mshamba sana kwanza inaoneka hujatembea kwenye majiji ya nchi za wenzetu walioendelea siku za sikukuu iyo ni kawaida sana hasa watu wakisherehekea sikukukuu.
 
Jiji limeshindwa hata kujenga playing ground na recreation center kwa ajili ya watoto , eti watoto wanategemea kwenda kujazana airport na mlimani city.wakati wa sikukuu
Hapo umeongea, hiki kitu hua nawaza sana nashindwa kuelewa jiji kubwa la Dsm linakosaje playground,
Hapo hujaenda Airport utawakuta watoto kibao nao wanazurura tu maskini,
Enzi zetu tulikua tunakutana viwanja vya Biafra kulikua kuna michezo ya kila aina sijui waliwezaje.
 
Biafra siku hizi ni sehemu ya kupark magari
Viwanja vya wazi vyote wameuza
 
Sehemu za kupumzika ziongezewe population imekuwa kubwa sana kwa dar
 
Back
Top Bottom