Leo mnashusha bei za tiketi,walipoandamana mliwaitia polisi wafukuzwe

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Mashabiki wa Simba walipoandamana ilikuwa ni haki yao ya msingi kusikilizwa wanapoona dosari na kutatua kwa demokrasia, mlileta polisi kuwatandika na kuwafukuza.

Tiketi zimegoma sokoni kuisha mnaanza kushusha eti Rais wa heshima kawafanyia punguzo imekuwa sh 3000, juzi Ahmed Ally alisema mzunguko ni 5000 wanasimba hawashindwi kulipa,mmekosa hamasa mmeshusha. Ishu siyo bei za tiketi ni tunaenda kuangalia nini wakati uongozi ni ule ule ,kocha ni Matola tuliyempigia kelele kwa hujuma akatolewa leo anarudisha na kocha mkuu ni kocha wa makipa.

Halafu mtuambie tuende uwanjani? Mnatuonaje.
Hata hiyo punguzo hamna hasara Mo kasharudisha faida kwa kubandika MO KUBWA ,mo ndogo na Mo foundation kwenye makalio ya jezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naongezea tu usajili pia tumefungiwa si ndani si nje..
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]vuta pumzi kwa ndani kwa dk moja kisha ziachie, then kunywa glass ya maji
 
😅😅😅 tulipokuwa tunawaambia Simba ni mbumbu muwe mnajitambua!!, Saizi mnatakiwa mlipe pesa za Sakho kwa timu yake huko mlikomtoa, huku mnara inaendelea kuasoma 5G, kule Memosi anakuja kupga kwenye mshono!.
Kule kocha wanagoma wanasema mnawapangia wachezaji, mgunda hamtaki mamgungu na Try again, kule Algeria yanga anapata matokeo 🤭🤭 wallah watu watachizika. Kule jezi zimewekwa Mo extra mpaka takoni🙌🙌🏃
 
Mashabiki wa Simba walipoandamana ilikuwa ni haki yao ya msingi kusikilizwa wanapoona dosari na kutatua kwa demokrasia, mlileta polisi kuwatandika na kuwafukuza.

Tiketi zimegoma sokoni kuisha mnaanza kushusha eti Rais wa heshima kawafanyia punguzo imekuwa sh 3000, juzi Ahmed Ally alisema mzunguko ni 5000 wanasimba hawashindwi kulipa,mmekosa hamasa mmeshusha. Ishu siyo bei za tiketi ni tunaenda kuangalia nini wakati uongozi ni ule ule ,kocha ni Matola tuliyempigia kelele kwa hujuma akatolewa leo anarudisha na kocha mkuu ni kocha wa makipa.

Halafu mtuambie tuende uwanjani? Mnatuonaje.
Hata hiyo punguzo hamna hasara Mo kasharudisha faida kwa kubandika MO KUBWA ,mo ndogo na Mo foundation kwenye makalio ya jezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile kampeni ya matawi na mashabiki kupewa mechi km heshima ya tuzo imeishia wapi ?
 
Kipara Gamondi mtu m badi sana.
Tulifurahia kuondoka NABI na tukafanya sherehe kuondoka kwa MAYELE.
Kumbe bora hata wangebaki tusingefungwa zote zile.
Yanga walijipanga walipokea maumivu misimu 4 wakasema basi
 
Kwa uongo wa Viongozi wa Simba hawawezi kamwe kutumia hela kuleta kocha/mchezaji wa daraja la juu hapa barani Africa.

Hata ukisikia kuna mchezaji amenunuliwa kuanzia Tshs 400+M situka jua unalishwa chakula cha kuzimu.

Haya yote tunayoyaona ni matokeo ya janja janja ya Nyani ambayo viongozi wamekuwa wakituhadaa kwa uongo uongo.

Binafsi nilifurahishwa na kichapo tulichopokea toka kwa mtani kisicho na konakona maana kimeathiri mashabiki na hao walaghai upande wa biashara zao za jezi, jezi mpya za CAF, viingilio, watu kususia kulipia app za Simba et al kitu kinachoumiza zaidi mioyo yao makanjanja
 
Mnamuandama sana huyo Mo Dewji ila kwa jinsi vilabu vyote vinavyoendeshwa Dewji akijitoa Simba nakuhakikishieni timu itakuwa na Hali ngumu mno.
 
Back
Top Bottom