Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Mashabiki wa Simba walipoandamana ilikuwa ni haki yao ya msingi kusikilizwa wanapoona dosari na kutatua kwa demokrasia, mlileta polisi kuwatandika na kuwafukuza.
Tiketi zimegoma sokoni kuisha mnaanza kushusha eti Rais wa heshima kawafanyia punguzo imekuwa sh 3000, juzi Ahmed Ally alisema mzunguko ni 5000 wanasimba hawashindwi kulipa,mmekosa hamasa mmeshusha. Ishu siyo bei za tiketi ni tunaenda kuangalia nini wakati uongozi ni ule ule ,kocha ni Matola tuliyempigia kelele kwa hujuma akatolewa leo anarudisha na kocha mkuu ni kocha wa makipa.
Halafu mtuambie tuende uwanjani? Mnatuonaje.
Hata hiyo punguzo hamna hasara Mo kasharudisha faida kwa kubandika MO KUBWA ,mo ndogo na Mo foundation kwenye makalio ya jezi.
Sent using Jamii Forums mobile app