Nilishapigwa pin kukanyaga huko mkuu. Nikionekana huko sipati mbususu hata wiki yaani [emoji16]Ndugu yangu katika Uzi wetu pendwa ule wa Picha Picha sikuoni bhana
Ulishawahi kumwangalia mzungu vizuri kwa ukaribu? Hao jamaa wanatisha. Tena huyu mzee na mpua wake mrefu vijicho vidogooo. Sioni lo lote la ajabu.Kweli mkuu huyo hata machoni tu humtizami anatisha me hapa tu nimeogopa
Mkuu hayo mambo tunaona watu wenye macho ya kiroho tuUlishawahi kumwangalia mzungu vizuri kwa ukaribu? Hao jamaa wanatisha. Tena huyu mzee na mpua wake mrefu vijicho vidogooo. Sioni lo lote la ajabu.
Labda kama mleta uzi alivyosema kuwa yeye ana kipaji cha kuona vitu kiroho labda ni mtu wa maombi sana au mlokole...Physically huyo ni binadamu wa kawaida tu sioni cha kushangaza hapo!
Hongereni...Mkuu hayo mambo tunaona watu wenye macho ya kiroho tu
Sio kama mimi labda ni kama wewe mkuu wazungu nimeishi nao sana nafanya nao kazi 24/7 nasoma nao malika yote nawajua vyema kuna wazungu wengi sana hapa Palace kwanini niseme huyo mmoja? Nilie weka pic zake? Wanadamu wa ki bongo uswahili sanaUlishawahi kumwangalia mzungu vizuri kwa ukaribu? Hao jamaa wanatisha. Tena huyu mzee na mpua wake mrefu vijicho vidogooo. Sioni lo lote la ajabu.
Labda kama mleta uzi alivyosema kuwa yeye ana kipaji cha kuona vitu kiroho labda ni mtu wa maombi sana au mlokole...Physically huyo ni binadamu wa kawaida tu sioni cha kushangaza hapo!
Hatuwezi kuwadharau sababu hata sisi tumepewa uwezo huu sio kwamba sisi ndio wakamilifu hapana ni Mungu tu kaamua iwe hivyo na akiamua kuuondoa uwezo huo anaweza mda woteSawa na hongereni sana!
Basi na sisi tusio na kipawa hicho tukiwabishia msitudharau maana tunaona mambo ya kawaida tu!
Na mpaka sasa mko wawili - mleta mada na wewe. Hongereni!
I like your pictureAlichokipost mkongo huwezi kukidharau
Ubaya wako nawe unadandia kujibu kila comment hata kama ulikuwa hujibiwi wewe. Uzi ni wako ndiyo but Jesus! Calm down a little bit!Sio kama mimi labda ni kama wewe mkuu wazungu nimeishi nao sana nafanya nao kazi 24/7 nasoma nao malika yote nawajua vyema kuna wazungu wengi sana hapa Palace kwanini niseme huyo mmoja? Nilie weka pic zake? Wanadamu wa ki bongo uswahili sana
Mara nimemuona msukuma ameweka ugali mfukoni[emoji23][emoji23][emoji23]Na chakula kikichelewa kuiva mkaanza kuona mauzauza msije kutusumbua hapa eti mmeona aliens [emoji16][emoji16][emoji16]
Nisingekuwa naenda misibani huko[emoji23]Huku kula kwenu
Dah! Huko huko kwenye msiba wa Eliza au kwingine? πππMara nimemuona msukuma ameweka ugali mfukoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongereni!Hatuwezi kuwadharau sababu hata sisi tumepewa uwezo huu sio kwamba sisi ndio wakamilifu hapana ni Mungu tu kaamua iwe hivyo na akiamua kuuondoa uwezo huo anaweza mda wote
Huko kwa Eliza si mauzauza plus msosi hakuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Huko huko kwenye msiba wa Eliza au kwingine? [emoji16][emoji16][emoji16]
Na kuona hayo mauzauza inabidi uwe na uwezo wa kuona mambo ya kiroho ππππHuko kwa Eliza si mauzauza plus msosi hakuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AhsanteHongereni!