Leo msibani nimemuona alien

Leo msibani nimemuona alien

Kweli mkuu huyo hata machoni tu humtizami anatisha me hapa tu nimeogopa
Ulishawahi kumwangalia mzungu vizuri kwa ukaribu? Hao jamaa wanatisha. Tena huyu mzee na mpua wake mrefu vijicho vidogooo. Sioni lo lote la ajabu.

Labda kama mleta uzi alivyosema kuwa yeye ana kipaji cha kuona vitu kiroho labda ni mtu wa maombi sana au mlokole...Physically huyo ni binadamu wa kawaida tu sioni cha kushangaza hapo!
 
Mkuu hayo mambo tunaona watu wenye macho ya kiroho tu
 
Ulishawahi kumwangalia mzungu vizuri kwa ukaribu? Hao jamaa wanatisha. Tena huyu mzee na mpua wake mrefu vijicho vidogooo. Sioni lo lote la ajabu.

Labda kama mleta uzi alivyosema kuwa yeye ana kipaji cha kuona vitu kiroho labda ni mtu wa maombi sana au mlokole...Physically huyo ni binadamu wa kawaida tu sioni cha kushangaza hapo!
Sio kama mimi labda ni kama wewe mkuu wazungu nimeishi nao sana nafanya nao kazi 24/7 nasoma nao malika yote nawajua vyema kuna wazungu wengi sana hapa Palace kwanini niseme huyo mmoja? Nilie weka pic zake? Wanadamu wa ki bongo uswahili sana
 
Sawa na hongereni sana!

Basi na sisi tusio na kipawa hicho tukiwabishia msitudharau maana tunaona mambo ya kawaida tu!

Na mpaka sasa mko wawili - mleta mada na wewe. Hongereni!
Hatuwezi kuwadharau sababu hata sisi tumepewa uwezo huu sio kwamba sisi ndio wakamilifu hapana ni Mungu tu kaamua iwe hivyo na akiamua kuuondoa uwezo huo anaweza mda wote
 
Sio kama mimi labda ni kama wewe mkuu wazungu nimeishi nao sana nafanya nao kazi 24/7 nasoma nao malika yote nawajua vyema kuna wazungu wengi sana hapa Palace kwanini niseme huyo mmoja? Nilie weka pic zake? Wanadamu wa ki bongo uswahili sana
Ubaya wako nawe unadandia kujibu kila comment hata kama ulikuwa hujibiwi wewe. Uzi ni wako ndiyo but Jesus! Calm down a little bit!

Mi nilikuwa namjibu Baby Succss hapo sasa nawe usharukia. Ndiyo binadamu wa Kibongo Uswahili sana tunao na tunajulikana kwa hilo. Tuvumilie tu maadam umeamua kuleta mada hapa public. Vinginevyo ungeweka angalizo kuwa watu wa Bongo tusikomenti 😬😬
 
Back
Top Bottom