Leo msibani nimemuona alien

Ingawa hiyo family ni REPTILIANS but hiyo Picha huyo mbona Ni mzungu WA kawaida
 
Hata kwa macho ya kawaida anaonkan hayupo kawaida cheki huo msikio vimacho na lipua. Huyo sio kiumb wa kawaida au labda mlemavu wa sura Kam sio Allien...
 
nakazia hapahapa
 
Sio kama mimi labda ni kama wewe mkuu wazungu nimeishi nao sana nafanya nao kazi 24/7 nasoma nao malika yote nawajua vyema kuna wazungu wengi sana hapa Palace kwanini niseme huyo mmoja? Nilie weka pic zake? Wanadamu wa ki bongo uswahili sana
kwa hiyo mkuu unamanisha ninachikiona hapa kwenye picha ni tofauti na ulichokiona?mi binafsi naona ana ule utofauti wa kawaida na inawezekana anajitenga kutokana na hali yake
 
Huyu si wa kawaida angalia na kufikiri sawasawa, Kama si mgonjwa au ndivo alivyozaliwa huyo basi inawezekana si binadamu hakuna binadamu wa kawaida yupo Kama huyo kwenye picha...
 
Uumbaji wa Mungu tu,ili kazi zake zidhihirshwe miongoni mwetu.hakuna la zaidi hapo
 
Punguza ugolo
 
Kunywa balimi angalau ka-kreti kamoja tu.Sasa weye umekunywa bia sitini!πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Unaweza kuwa sahihi marehemu sheikh Yahaya Hussein aliwahi kumuelezea Queen Elizabeth kuwa ni kiongozi mkuu wa majini hapa duniani!!!!

Source You tube:Kipindi cha Nyota Zenu cha Tarehe 5 April 2010​

NbπŸ˜€unia ina siri kubwa!!!Achana na watoto wa 2000s ambao wanahisi wao ndiyo wanaijua dunia na vilivyomo kuliko waliopita!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…