Leo msibani nimemuona alien

Leo msibani nimemuona alien

Ingawa hiyo family ni REPTILIANS but hiyo Picha huyo mbona Ni mzungu WA kawaida
 
Hata kwa macho ya kawaida anaonkan hayupo kawaida cheki huo msikio vimacho na lipua. Huyo sio kiumb wa kawaida au labda mlemavu wa sura Kam sio Allien...
 
Ulishawahi kumwangalia mzungu vizuri kwa ukaribu? Hao jamaa wanatisha. Tena huyu mzee na mpua wake mrefu vijicho vidogooo. Sioni lo lote la ajabu.

Labda kama mleta uzi alivyosema kuwa yeye ana kipaji cha kuona vitu kiroho labda ni mtu wa maombi sana au mlokole...Physically huyo ni binadamu wa kawaida tu sioni cha kushangaza hapo!
nakazia hapahapa
 
Sio kama mimi labda ni kama wewe mkuu wazungu nimeishi nao sana nafanya nao kazi 24/7 nasoma nao malika yote nawajua vyema kuna wazungu wengi sana hapa Palace kwanini niseme huyo mmoja? Nilie weka pic zake? Wanadamu wa ki bongo uswahili sana
kwa hiyo mkuu unamanisha ninachikiona hapa kwenye picha ni tofauti na ulichokiona?mi binafsi naona ana ule utofauti wa kawaida na inawezekana anajitenga kutokana na hali yake
 
Bana mukongo 1
Tunaombeleza huku Sheffield...
tozali kolela, wewe uko fasi ya London, utuwakilishe......Acha politiki...

1662752893992.png

1662752923127.png

1662752939425.png

1662752964923.png

1662752989089.png

1662753074957.png

1662753127745.png

1662753227784.png
 
Huyu si wa kawaida angalia na kufikiri sawasawa, Kama si mgonjwa au ndivo alivyozaliwa huyo basi inawezekana si binadamu hakuna binadamu wa kawaida yupo Kama huyo kwenye picha...
 
Uumbaji wa Mungu tu,ili kazi zake zidhihirshwe miongoni mwetu.hakuna la zaidi hapo
 
Leo nilivokua msibani kwa bibi wa Wingerezani nimemuona binadamu asie wa kawaida nikajaribu kumpiga pic lakini kama akahisi nitaweka pic zake kama 1 mtaona kwanza macho yake hayako kama binadamu make huoni jicho Lake giza na sikio shape yake sio kawaida na pua pia nikahisi ndio wale
Punguza ugolo
 
Kunywa balimi angalau ka-kreti kamoja tu.Sasa weye umekunywa bia sitini!🤔🤔🤔🤔
 
Leo nilivokua msibani kwa bibi wa Wingerezani nimemuona binadamu asie wa kawaida nikajaribu kumpiga pic lakini kama akahisi nitaweka pic zake kama 1 mtaona kwanza macho yake hayako kama binadamu make huoni jicho Lake giza na sikio shape yake sio kawaida na pua pia nikahisi ndio wale
Unaweza kuwa sahihi marehemu sheikh Yahaya Hussein aliwahi kumuelezea Queen Elizabeth kuwa ni kiongozi mkuu wa majini hapa duniani!!!!

Source You tube:Kipindi cha Nyota Zenu cha Tarehe 5 April 2010​

Nb😀unia ina siri kubwa!!!Achana na watoto wa 2000s ambao wanahisi wao ndiyo wanaijua dunia na vilivyomo kuliko waliopita!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom