Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Peni ya upakoNimekumbuka kuchukua,una kingine cha kunikumbusha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peni ya upakoNimekumbuka kuchukua,una kingine cha kunikumbusha?
Nimechukua pia, asante.Peni ya upako
OkSalamu wakuu,
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, nikihangaikia suala la kutoka huku nchini kwetu kwenda Marekani. Hatimaye leo ndio siku yenyewe ya kujua mbivu na mbichi.
Nitakuwa ubalozini kwa ajili ya visa interview saa tatu na dakika 45 asubuhi hii.
Namuomba sana Mwenyezi Mungu anifanikishe katika jambo hili, niombeni pia rafiki zangu. Nitaleta mrejesho.
Wasalaam.
Sina nitakutafuta wewe.Kila leo ukipata viza nijuze vipi una mtu USA wa kukuonyesha mji
Nakuombea KILA la kheri wabongo kibao wapoSina nitakutafuta wewe.
mji gani US kuna miji Zaidi ya mia moja na majimbo hamsini kila jimbo lina miji mikubwa Zaidi ya mitanoKila leo ukipata viza nijuze vipi una mtu USA wa kukuonyesha mji
Apate viza kwanzamji gani US kuna miji Zaidi ya mia moja na majimbo hamsini kila jimbo lina miji mikubwa Zaidi ya mitano
Jumatatu huwa mbaya sana. Wale jamaa wanakuwa active sana tena wanakuwa na unoko mwingi. Ijumaa bonge la day usikate tamaa lknHuitaji maombi bali sababu ya kumshawishi Officer kuwa huzamii US.
Jumatatu huwa mbaya sana. Wale jamaa wanakuwa active sana tena wanakuwa na unoko mwingi. Ijumaa bonge la day usikate tamaa lkn
Thanks much mkuu, wewe ni miongoni mwa watu bora sana, nashukuru kwa ushauri wako mzuri, nitaufanyia kazi.Visa za shule sio ngumu sana so long as umejipanga.
Uwe unajua chuo unachoenda na mahala kilipo. Sema unaenda kukaa campus au Karibu na chuo, hopefully bank statement yako imeshiba.
Hakikisha huwapi sababu ya wao kudhani utazamia, wape malengo yako kwamba utarudi kula vumbi bongo mara shule yako ikiisha. Kimsingi visa interview ni kuwatoa hofu pasi na shaka kwamba utarudi bongo.
Unaweza ulizwa maswali ya hapa na pale kama kwanini hiyo course, umekijuaje hicho chuo, utafikia airport gani, ni kipi unachokijua kuhusu chuo kilipo nk. Ni vyema ukajipanga Incase yakitokea.
Kama una educational background nzuri, i20 na BS inasoma fresh utapata tu hata wakikunyima now omba tena utapewa.
Unakuja for school purposes so lazima interview yako iwe in English usijidanganye kuomba wakufanyie kwa kiswahili hawakubali. Good luck
Salamu wakuu,
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, nikihangaikia suala la kutoka huku nchini kwetu kwenda Marekani. Hatimaye leo ndio siku yenyewe ya kujua mbivu na mbichi.
Nitakuwa ubalozini kwa ajili ya visa interview saa tatu na dakika 45 asubuhi hii.
Namuomba sana Mwenyezi Mungu anifanikishe katika jambo hili, niombeni pia rafiki zangu. Nitaleta mrejesho.
Wasalaam.
Mkuu watu kama hao sio wa kuhangaika nao, kaa kimya tu. Unamuacha mtu anachukua point basi maisha yanaendalea.mji gani US kuna miji Zaidi ya mia moja na majimbo hamsini kila jimbo lina miji mikubwa Zaidi ya mitano
Ahsante sana Mkuu, sikati tamaa.Jumatatu huwa mbaya sana. Wale jamaa wanakuwa active sana tena wanakuwa na unoko mwingi. Ijumaa bonge la day usikate tamaa lkn
Sina makosa Mkuu, sijawahi kushitaki mtu wala kushitakiwa, naishi kwa dhamiri njema, mbele za Mungu na wanadamu wenzangu, naimani nitafanikiwa kwa mapenzi ya Mungu.Utapata mradi usiwe na makosa ya kupokonya uhai wa mtu.
OccasionallyWameanza kufanya interviews Fridays?
Thanks much mkuu, wewe ni miongoni mwa watu bora sana, nashukuru kwa ushauri wako mzuri, nitaufanyia kazi.
Kuna baadhi ya watu humu, wapo ili kudharau kila kitu kinachoandikwa, unaweza ukashangaa kuandika neno MNIOMBEE ndio imekuwa main ajenda.
Anyway sishangai maana akili za wengi wetu nazijua, wivu, ujinga , uchawi na husuda.
After all nashukuru sana, umenijenga, Mungu akubariki.
Thanks so much Mkuu, I truly appreciate your time and best wishes.Best of luck Mkuu
See you at the top
🪐