Leo nafanya interview Ubalozi wa Marekani kwa ajili ya viza

Naingia Fall mkuu, chuo hakijafunguliwa bado hadi sasa.
 
Ndugu yangu watu wasikupandishe shaka visa sio ngumu as longer as huko na proper documentation . Pili Maisha ya US sikuhizi mwanzoni yamekuwa magumu sana maana ili kupata kazi unahita ID na Social security number ID kupata raisi tu ila social security number huwa hawatoi kwa wanafunzi hadi upate kazi shuleni na kazi za shule huwa ngumu kupata sababu foreign students wote wanazigombania na walio nazo hawaachi so uwe na mtu wa kukupoke au pesa ya kutosha kukuwezesha kwa muda mrefu kidogo.
 
I'm thankful Mkuu[emoji120]
 
Nashukuru kwa ushauri Mkuu.
 
Kila La kheri,
Jiamini, Jibu maswali kwa kujiamini,
Mtazame Interviewer straight kwenye Paji lale la uso, usitupe jicho pembeni,
Ishara ya mikono iendane na Unachozungumza, lakini pia isi-swing too much hasa kwenye Open- ended Questions.
 
Kazi za chini ya meza bado zipo nyingi tu depends na mwenyeji wake. Watu kadhaa wamefika mwaka huu na the very next day wameamkia box za chini ya meza. Ni uthubutu wake na ujanja wa mwenyeji wake.
 
Kazi za chini ya meza bado zipo nyingi tu depends na mwenyeji wake. Watu kadhaa wamefika mwaka huu na the very next day wameamkia box za chini ya meza. Ni uthubutu wake na ujanja wa mwenyeji wake.
True zipo lakini malipo duni sana haziwezi kumlipia shule na bills kamanda ila yote kwa yote huku hakuna kisichowezekana kama mvumilivu na uwa hatutupani kokote uendako wabongo wa huko hawata kutupa hata kama humjui mtu .
 
Haya yote kisa viza tu ya kwenda Ulaya!!?? Wakati wao wakija kwetu wanachukua viza yetu at arrivals! Kwa urahisi tu!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Action yeyeto ya non refundable ni wizi kama wizi mwingine. Unaomba chuo, shule, visa,tenda, nk wanaprint form kibao then wanachukua wachache si wizi huu. Kwa utaratibu application fee wasilipe only selected. Pata viza Kwanza, chuo, shule, tenda kwanza kisha ndo waliopata ndo walipie hio fee. Huu ni wizi na embassy ndizo zinaongoza kwa wizi huu. Mtu akikosa viza, chuo, tenda, nk arudishiwe pesa yake. Acheni wizi
 
Achanaga na watu wa JF kama una jambo lako.

Wengi wamejaa upuuzi,chuki,husda,vijino pembe,vijicho.

Kama una jambo lako lifanye kimya huko hadi ufanikiwe ndio uamua ulilete hapa au usilete.

Wakati mwingine kuwaambia watu jambo kabla halijafanyika ni kukaribisha negative energy around You.

JF ya Sasa imekaa kiajabuajabu sio kama zamani
 
Haya yote kisa viza tu ya kwenda Ulaya!!?? Wakati wao wakija kwetu wanachukua viza yetu at arrivals! Kwa urahisi tu!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Marekani haiwezi kufanya viza on arrival haitosaidia kwa vile kununua ticket mashirika ya ndege yangekuwa pia yanahakikisha huwezi nyimwa kabla ya kukuchua maana ukinyimwa inabidi wakurudishe kwa gharama zao
 
Na watu wa viza wa embassy lazima wakulazimishe waone umekata ticket, wakati hata bado hawajafanya maamuzi ya kukupa viza, maana walivyo Wajinga wanakulazimisha kukata ticket alafu kwenye viza wanakupa refusal tena!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ninaungana nawe 100%,umeona hawa dot.com wanavyojibu ili kukukatisha tamaa, all the best mkuu ,fanya vitu to the basic, documents zako ziwe byeeee, vaa casual but smart, eye contact ni muhimu mno, swali kama hujui jibu ,honestly waambie hujui (crocodiles wanachukia mno mtu mwongo),majibu yawe mafupi down to details, always onyesha ukweli wako na kama wapo zaidi ya wawili always maintain eye contact na anayekuuliza ,Good luck
 
Inategemea unaenda kufanya nini wanafunzi hawalazimishwi kununua ticket kwanza …. ila ukilipa collage fees kabla ya kuomba visa unakuwa na advantage ya kupa . ila ukiwa unakuja kutembea ni lazima uwe na round ticket kabla ya kuomba visa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…