Huku JF wakati mwingine huwa naingia nikiwa serious na nikiwa makini kweli kweli. Lkn Kuna muda nakuwa na stress zangu tu naamua kuja kuziondolea huku.
Hivyo kuna muda natoa maoni yanayoweza kuwa yamewakwaza baadhi yenu.
Nachukuwa fursa hii kuomba radhi kwenu nyote ktk siku hii takatifu, nami nimewasamehe wote waliowahi kunikwaza.
Biblia inatuonya kwa kusema "ole wao wasababishao makwazo".
Neno OLE ktk biblia hutumika kwa jambo/tendo litakalopelekea adhabu kali sana kwa mtenda.
Mungu awabriki!