Kulalamika lalamika TU mwenzio kachepuka bila ushahidi wa lini,wapi na kachepuka na Nani Inakua Ni KAZI bure.
Ata ukiwaeleza watu unaonekana unamsingizia au wivu Wako Tu unaleta stories za SHABAN ROBERT- KUSADIKIKA.
Unatakiwa ukishamgundua unampiga PUNCH ZA FACT ZA MAANA,
Kias kwamba anajistukia na anajiona Yuko uchi wa mnyama.
Na Kama mwanaume unahisi hisu, wataendelea kuchepuka wakiamini bado huwajui, na hujui chochote khs nyendo zao.
Maana wanaona accusation zako ziko too general, unabahatisha bahatisha tu kwa wivu wao.
WANAUME WENGI TUNAFELI sana HAPA KWENYE KUVUMILIA KUKUSANYA USHAHIDI.