Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Yaani wewe hata hujitambui
 
Kama huna uwezo wa kumtema mazima mkeo, epuka kumfumania - MhengaMimi
 
Exactly [emoji106]
 
Wakuu ipo hivi nilisafir toka jtano mkoa flan plan ya kurudi ilikuwa jmos kesho jion lakin nikaamua tu nirudi leo kwa sababu kazi nilionda kufanya imeisha toka jana jion.
Ok.

Pigia Yesu Makofi 👏👏
 
Evidence gathering ni kupoteza muda.

Mwanaume hagombei mwanamke. Akihisi mkewe anachepuka inatosha kufunga huo ukurasa na kuanza upya. Mke mmoja kwani kawa Mama huyo?

Mke atunzwe, apewe stahiki zake kama mke. Akihisiwa anachepuka apewe Uhuru aendelee na green pastures zake. Basi.
 
Mkuu kikwetu mke akishatoka bila taalifa tena usiku hilo tayali ni kosa kama kachepuka au laa atajua mwenyewe.

Kwa nyinyi wazungu najua mke anaeza lala kwa family friend na sio shida.
 
Yaan watu hatujalala mkuu tupe mrejesho [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…