FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
- #361
Nimeona kuna wale mliokereka Mtajijj kama hamkupenda msingepost (ignore) sitaki kuwataja ..kila mmoja na namna yake ya maisha..roho yangu nyeupe maisha kwangu tambaraaaaaaaaaaaaaaaaaaaale ...message ishamfikia muhusika
Hiki ni chombo huria kwa nini watu wanatuma TBC one kwenye Bango Kwanini watu wanatuma kupitia magazeti agggggggggggggggggggh
Huwezi fanya kitu wanadamu wote wakakipenda neva on ethi
Asante kwa wote mlioipokea katika postive way
peace and love
mwaaaaaaaaaaaah