Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

Dua la kuku halimpati mwewe.
Utanasa tu kwenye himaya yangu wewe ruka ruka tu utakuja kutulia tulii.

niruke ruke mie mwewe
kwanza kwa taarifa yako simwachi ng'ooooooooooooo
utakuwa ka fisi kusubiri mkono wa mtu udondoke and the arm never fell
 
niruke ruke mie mwewe
kwanza kwa taarifa yako simwachi ng'ooooooooooooo
utakuwa ka fisi kusubiri mkono wa mtu udondoke and the arm never fell

Hivi huoni raha iliyoje kula na nduguyo mm nataka kipapatio tu paja sitaki mie.
 
Hivi huoni raha iliyoje kula na nduguyo mm nataka kipapatio tu paja sitaki mie.

naomba uishie hapo hapo usiniharibie swaumu yangu....................am really mad today
play safe Fide!!!!!
 
naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u

921-i_love_you_teddy_bear.jpg

Loh! wacha nile ugali kwa picha ya samaki mie, nasikia rahaaaa utamuuuu, natamani ingekuwa mimi, jamani, jamani, jamani mwe ka mwe!
 
nipe ushahidi Binamu

Haya Binamu ushahidi huu hapa chini.

aaah asante wife..huku niliko nakuwaza wewe tu ..hivi umejuaje na mimi nimekumisii nakupenda my life time partner...

Huyu wa kwanza dah unabahati kweli

Halafu wewe mama nakumbuka ile siku nilopokudondokea eti uliniambia hunitaki kumbe sitaki nataka dah,now we have three years 2geza enjoying our YES I DO...love you too my strawberry....Halafu unalikumbuka lile first kiss letu pale......

huyu hapa wa pili nae

Asante mke wangu kwani picha kwangu aifutiki kwenye akili yangu pale tulipokuwa kanisani tunasaini cheti ukaniambia sisaini kwa maneno ya chini du sitasahau kwani ulini joke. du pia pale tulipokuwa ukumbi uliposhuka kucheza music na babu yangu eti ndio mumeo halali. mke wangu sitakuacha milele kama maandiko yalivyo pia mungu atuzidishie penzi letu kila siku unione mpya na mimi nikuone mpya i say: I love you so much.. najua hukujua kama mimi nimo humu ila watu wengi wanakuuliza mumeo yupo waambie yupo. asante kwa kuni publish katika JF yetu tuijenge iwe safi zaidi. asante mke wangu

Huyu nae mme wako lol.
Mpaka hapo bado wale wengine mme wako halali ni yupi?
 
naomba uishie hapo hapo usiniharibie swaumu yangu....................am really mad today
play safe Fide!!!!!

Hahahaha alamba alamba ham ham, dedication Charger ya kobe
 
Binamu Fidel80 katika hiyo list yooooote hayupo hata mmoja sema tu mie na yeye enterest zetu ni tofauti na ndo maana yeye huwezi kumuona katika jukwaa la mapenzi hata siku moja ukienda siasa ,na inteligent ukaweza kuguess labda ..ananiamini ndo maana kaniacha mie nitinge humu na nyi mabinamuzzzzzzzzzzzzzz
one day mki- arrange get togeza i promise nitawaonyesha na kuwatambulisha ..
 
Mmmmh! Tuweke wazi FL 1 mbona wadau wanaonekana ni wengi kwenye kampuni yako? Ama tukupepee mamii....
 
Ni muhimu kumwambia, usipomwambia atajuaje? Na hii style uliyotumia ya humu nimeipenda sana, maana mzee atakuwa kiroho kwatuuu!~ safi sana FL1
 
Kwani mmelala vitanda tofauti? Vinginevyo ungem PM; Hili tunaita hashuo na kujiona!
 
kaenda kuoa Kimey........
akirudi sio vingereza tena ni kindengereko kwa kwenda mbele
ha ha ha we Bluray aoe?? maana kwa vitu alivyokua anvipinga kwa nguvu zote ni uwepo wa 'Mungu" na Ndoa!! any peiple change!! Thank na nyingine nimekugongea
 
ha ha ha we Bluray aoe?? maana kwa vitu alivyokua anvipinga kwa nguvu zote ni uwepo wa 'Mungu" na Ndoa!! any peiple change!! Thank na nyingine nimekugongea

heeeee kaenda kutafutwa mwali huko.....yote yawezekana bana!!!!
 
Sisi ni wavutaji.
Kama ametuma kwa mmewe si angetumia njia ingine.
sasa wewe fideli achanoma, yeye kapenda kutumia njia hii msimvurigie bwana ... u know when u love someone you wanna everyone to know that you are in love with that person... and may be this is why she wanted to put it here....

kama wewe unampenda mtu u can do the same...
 
Back
Top Bottom