Asante mke wangu kwani picha kwangu aifutiki kwenye akili yangu pale tulipokuwa kanisani tunasaini cheti ukaniambia sisaini kwa maneno ya chini du sitasahau kwani ulini joke. du pia pale tulipokuwa ukumbi uliposhuka kucheza music na babu yangu eti ndio mumeo halali. mke wangu sitakuacha milele kama maandiko yalivyo pia mungu atuzidishie penzi letu kila siku unione mpya na mimi nikuone mpya i say: I love you so much.. najua hukujua kama mimi nimo humu ila watu wengi wanakuuliza mumeo yupo waambie yupo. asante kwa kuni publish katika JF yetu tuijenge iwe safi zaidi. asante mke wangu