FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #361
Nimeona kuna wale mliokereka Mtajijj kama hamkupenda msingepost (ignore) sitaki kuwataja ..kila mmoja na namna yake ya maisha..roho yangu nyeupe maisha kwangu tambaraaaaaaaaaaaaaaaaaaaale ...message ishamfikia muhusika
Hiki ni chombo huria kwa nini watu wanatuma TBC one kwenye Bango Kwanini watu wanatuma kupitia magazeti agggggggggggggggggggh
Huwezi fanya kitu wanadamu wote wakakipenda neva on ethi
Asante kwa wote mlioipokea katika postive way
peace and love
mwaaaaaaaaaaaah
peace and love
mwaaaaaaaaaaaah
Inakuwaje mamushka? wanakuonea wivu? wapotezee.ujumbe ushamfikia muhusika.
haya maneno ya chumvi ya mapenz, endelea kumwambia mwandani wako unavyojiis ili muishi kwa starehe zaidnaomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u
naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u
Sielewi kwanini ulalamike wakati mwenyewe umeomba watu wasi-ignore post,watu wamerespond..you should be glad they did as u pleased
Nimeona kuna wale mliokereka Mtajijj kama hamkupenda msingepost (ignore) sitaki kuwataja ..kila mmoja na namna yake ya maisha..roho yangu nyeupe maisha kwangu tambaraaaaaaaaaaaaaaaaaaaale ...message ishamfikia muhusika
Hiki ni chombo huria kwa nini watu wanatuma TBC one kwenye Bango Kwanini watu wanatuma kupitia magazeti agggggggggggggggggggh
Huwezi fanya kitu wanadamu wote wakakipenda neva on ethi
Asante kwa wote mlioipokea katika postive way
peace and love
mwaaaaaaaaaaaah
my bestlady, nimefurahi kuwa unaelewa hivo, no wonder you are not bothered by that............
Dada yangu kwa mapozi, we acha tu!naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u
naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u
Haya Binamu ushahidi huu hapa chini.
Huyu wa kwanza dah unabahati kweli
huyu hapa wa pili nae
Huyu nae mme wako lol.
Mpaka hapo bado wale wengine mme wako halali ni yupi?
. -Wewe alikukuta na bikira? Au nyamaume hawana bikira? - Ikiwa nyamaume hawana bikira nini maana halisi ya bikira? Je ni kuwepo na kiwambo (hymen) au ni kutopata kufanya ngono kabla ya ndoa? CONFUSEDNashukuru hukuniangusha. Japokuwa sikukukuta bikira, lakini sikujali. Hao walionitangulia hawanibabaishi. .
Kaaazi kweli kweli!
dada umeamsha hisia za watu, manake inaonesha ni jinsi gani watu wanavyopenda kuambiwa maneno mazuri na wapenzi wao mbele ya halaiki. Naona kila mwanaume anataka kujibatiza kuwa mumeo. Lakini nadhani mwenye mali yuko mahali katulia tuli! anachekelea tu moyoni