Mkuu dalili ya mvua ni mawingu. Tangu tumeanza, alikuwa ananishushua mimi tuuuuuu. Wewe wala. Nisaidie kwa nyamayao mkuu, mwambie na shem, msaada wake ni muhimu sana.
Hilo limekwisha na mimi niliona kijiwivu kake nikajua upepo unakuendea vyema, nimekwisha mpa task wifey naona saa hizi anampanga nitakupa feed back baada ya lunch, maana tutakuwa na shemeji yako.
Hilo limekwisha na mimi niliona kijiwivu kake nikajua upepo unakuendea vyema, nimekwisha mpa task wifey naona saa hizi anampanga nitakupa feed back baada ya lunch, maana tutakuwa na shemeji yako.
Mkuu nimekukubali, na wife wako tayari kashasepa. Manake umembeba mzobamzoba. Mpwa Masa alijaribu bahati yake maji yakazidi unga. Endelea kuchoma mkuu.
Mi nakumbuka. Ulijisevia kwa mkopo. They are all the same.
Kwa kweli nahisi kumpenda FL, niko tayari kumpa Moyo wangu! mimi nitatumia figo
Kwa kweli nahisi kumpenda FL, niko tayari kumpa Moyo wangu! mimi nitatumia figo
Mpwa, ni typing error au umedhamiria? Tigo au Figo?
i lav u my first lady ur the part of me.
thanks for the chocolate, wote hao wanakutania tu, embu waeleze ukweli kuhusu sisi kuwa tunaamka pamoja na tunala pamoja sasa uko kifuani mwangu.....tunasoma vsms vyao
Ni wapenzi vijana tu hawa. Watu wazima hawawezi kujianika hivyo. Ukiona wawili wamekaa kwenye gari wenye furaha sana na maongezi muda wote na vicheko huku wakitazamana kila wakati, ujue ni wezi hao wala sio mume na mke. Mkate wa wizi ni mtamu kulikoni wako.
Leka
sasa nani ndo mmeo mbona wote wanajibu.........
mmh kwani mko wanaume wangapi???
Mpwa I meant to give her my sweet heart and one of the Kidney to replace it ....Mpwa fiGo na tiGo havina uhusiano.
We ulivyoleta hii thread ulikua na malengo gani? ulitakawatu wachangie nn? na Mumeo ni member huku au? kama sio member ujumbe angeupataje?nisaidie mwenzio hapa hata sieleweki message hii ilikuwa mahusuki kwa nani πwamemaliza apetaiti yangu