Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
ha ha ha sorry mkuu maybe nilipitiwa na hiyo comment yake aliokutaja!Aseme mara ngapi mkuu, wakati alishasema muda mrefu kuwa ni MIMI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha sorry mkuu maybe nilipitiwa na hiyo comment yake aliokutaja!Aseme mara ngapi mkuu, wakati alishasema muda mrefu kuwa ni MIMI.
usiogope my darling wewe na mimi mpaka mwisho wa nyakati..wananionea wivu sana mimi kuwa na wewe kama my wife wangu..tulia tuzae mtoto wa pili ndo washangae
na ww polisi umetokea wapi? kaongoze magari kwenye foleni huko mtoto utamweza huyu?? mtu mwenyewe umenenepeana ka nini...round 1 hoi.
Duh! Naona mdada wa watu anagombaniwa kaa mpira wa kona. Kubabake walahi....inabidi kina dada waongezeke hapa la sivyo hapatatosha
ha ha ha sorry mkuu maybe nilipitiwa na hiyo comment yake aliokutaja!
Hahahahahahaha Kigogo mazee anakula viagra pori......
Tunamtaka huyuX2 wengine wa nini wan jicho kama hili? kama wapo waje.....
Pitia zote mkuu, utakutana nayo. Kina burn, masa,nguli wote wamenawa mikono. Sasa naona kuna mtrafiki mmoja umeibuka nao eti unataka kula. Badala ukaongoze magari pale ubungo wenyewe unang'ang'ania wake za watu
Haya bana...may the best man win her affection..
Ofcourse, I am the winner.
Ushindi wa mezani huo...
Ofcourse, I am the winner.
Oh my wife wangu first lady, I love you more than all the stars in the universe. Have a good day sweet pie!.naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u
![]()
Naona hii thread imejaa wapenzi wa huu wimbo wa Marehemu Roger Troutman na ndugu zake kwenye kundi la ZAPP......
http://www.youtube.com/watch?v=HftQgBZ-Ou8
You bet.
...Ukisikia usanii ndio huu. Haya pendaneni basi ingawa jamaa anadai hakukuta bikira.Hii imekaaje nayo 1st Lady?eeeh can imagine mbona mmefika watatu tayari 😱 katika muda mfupi tu
hahahhahahaahahahaaaaaaaaaaaaaa yaani umenichekeshesha hapoo FL ile mbaya hivi hujajuaaa humu kuna kila aina ya ubongo? usijali waache wao watanie lakini wako wa ubani anajua unachomaanisha, nimeipenda style yako ya kusema nakupenda kwa mumeo.Hongeraaaaah hivi mnajua nimepigwa butwaa sikumaanisha hivi jamani was really serious nyie mnadhani joke😡