Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

Aahahahahaha..kwa hiyo umekubali ni ushindi wa mezani siyo? Aahahahahaha...haya wewe endelea kusherehekea huo ushindi wako huku wengine wakichinja

Ushindi wa mezani sometimes unalipa mkuu. Wenzako wanahaha, wanaumizana we unachukua kilaiiiini Bila jasho kukutoka. Jaribu siku moja uone raha yake.
 
hahahhahahaahahahaaaaaaaaaaaaaa yaani umenichekeshesha hapoo FL ile mbaya hivi hujajuaaa humu kuna kila aina ya ubongo? usijali waache wao watanie lakini wako wa ubani anajua unachomaanisha, nimeipenda style yako ya kusema nakupenda kwa mumeo.Hongera

I am proud of my 1ST LADY shes next to me, CHRISPIN anabeep hapa kumbe hata voucher hana?
 
You hit it right on the head.....kwikwikwikwikwiiiiiiiii.....ila amini usiamini kuna mijitu inachukulia mambo ya kwenye internet very seriously kwa hiyo sitashangaa kukiwa na jitu au mijitu itakayo develop some type of emotional attachment na huyo so called Firstlady1

Yaani kuna watu wataulizwa kama wana mke na watasema ndiyo ninaye?

Akiulizwa jina aseme nani? Firstlady1? Na mapenzi yao ni DIGITAL LOVE?

Nawapa HONGERA. Na kibaya zaidi wengine watatoboa SCREEN zao wakiona majina ya Wapinzani wao. Ni kama mtoto anavyotaka kumkamata Mdudu Yo Yo kwenye Screen. Kazi kweli ipo. Ngoja tuone mshindi.
 
Nikiwemo mkuu, sitamwacha FL1 mpaka kieleweke. Kayataka mwenyewe bana.
 
hahahhahahaahahahaaaaaaaaaaaaaa yaani umenichekeshesha hapoo FL ile mbaya hivi hujajuaaa humu kuna kila aina ya ubongo? usijali waache wao watanie lakini wako wa ubani anajua unachomaanisha, nimeipenda style yako ya kusema nakupenda kwa mumeo.Hongera

thanks agika angalau wewe umenielewa mwenzi
nice day to u
 
na ww polisi umetokea wapi? kaongoze magari kwenye foleni huko mtoto utamweza huyu?? mtu mwenyewe umenenepeana ka nini...round 1 hoi.
dahhh Nguli kitambi na outcome za mahabat ya wifi yako 1st lady.nini kuongoza magari nauza matikiti maji pale geti la mwananyamala hospital lakini ndo kitu hicho nakimiliki.pole mdogo wangu
 
Nikiwemo mkuu, sitamwacha FL1 mpaka kieleweke. Kayataka mwenyewe bana.

Poor thang...look what she done did to her innocent self. I bet she didn't know what she was getting herself into....
 
Yaani kuna watu wataulizwa kama wana mke na watasema ndiyo ninaye?

Akiulizwa jina aseme nani? Firstlady1? Na mapenzi yao ni DIGITAL LOVE?

Nawapa HONGERA. Na kibaya zaidi wengine watatoboa SCREEN zao wakiona majina ya Wapinzani wao. Ni kama mtoto anavyotaka kumkamata Mdudu Yo Yo kwenye Screen. Kazi kweli ipo. Ngoja tuone mshindi.

Kama navyofanya hapa kwa Nguli, Masa na Burn. Mpaka screen imetoboka.
 
Hongera Firstlady. uzuri wenyewe ni kwamba Mr President keshapata message na wengine wanajichoresha tu.
 
Poor thang...look what she done did to her innocent self. I bet she didn't know what she was getting herself into....

Usijali, tulipanga afanye hivyo ili tupime imani za wakware. Yuko mikononi mwangu salama salimini.
 
kwi kwi kwi my intension ni my husband ambaye yuko hapa hapa 🙂

Mwajuma, jiwe moja tunaweza kupikia chakula (Hapana bibi).

Mwajuma, mawe mawili twaweza kupikia chakula (Hapana bibi).

Mwajuma, Mawe matatu twaweza kupikia chakula ( Ndiyo bibi, chungu kitakaa).

FL1, sasa inabidi uwe na mawe matatu. Moja tayari ni mume wako, la pili ni bwana wa kukupa pesa mkikwama ndani na wa tatu incase mumeo akikuacha, basi jamaa anakudaka haraka sana.

Haya, ngoja Masa na kundi lake wakuchezee ngoma ya kikwao ya CHAGULAGA yaani "Chagulaga mwana Mayu". Itabidi tu uchague wawili ili YAISHE......... Mumeo itabidi tu avumilie maana ndiyo DIGITAL LOVE umeianzisha.......
 
Mpwa nilipitiwa nadhani hii thread hataisoma.....mzee kwenye sports umesepa....nasikia kwenye msimamo mpo mbaaali?

...worry you not, by the time anarudi toka huko vijijini thread hii itakuwa kule kapuni...

Kwenye sports Manure wananibore bana, kila refa anawapa dkk za nyongeza wasawazishe.

Huyu 1stLady mwenye thread hii bahati yake sio 1stlady wangu hapa,...leo ndio ingekuwa kiama chake na hizo nyumba ndogo zake zinazojibishana nae humu...🙂
 
Back
Top Bottom