Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,553
- 2,380
hahahahahahah siku njema mazee ngoja nisepe!
Du wazee kwenda lunch mmeamua ku privatise kabisa penzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahah siku njema mazee ngoja nisepe!
This is very sweet of you. Your husband is lucky to have a wife like you. I wish you both more happy days together.
Wakina dada/mama igeni mfano wa Firstlady1. Kazi ya kuwa romantic siyo ya mwanaume tu!
This is very sweet of you. Your husband is lucky to have a wife like you. I wish you both more happy days together.
Wakina dada/mama igeni mfano wa Firstlady1. Kazi ya kuwa romantic siyo ya mwanaume tu!
Love you too darling. Can't live without you. Umenikumbusha mbali kweli, siku ile nilipokuona kwa mara ya kwanza, moyo wangu uliongeza kasi ya mapigo. Nilijiuliza ntakutokeaje, na je nikipata ujasiri wa kukutokea halafu ukanikatalia ingekuwaje.
Nashukuru hukuniangusha. Japokuwa sikukukuta bikira, lakini sikujali. Hao walionitangulia hawanibabaishi. Najua hawana nafasi kabisa katika moyo wako. Walikuwa wanajifunza tu darling. Ntakupenda daima. Sitakuangusha.
Luv u my carpet and ceiling board.
Chris.
You are right Mwana I am the luckiest man in the whole world to have such a caring, hugable, loving and beautiful wife. I love you FL1
Lots of men here needs Potassium Bromide ........loooh (Bromism) is bad
Nawashangaa wanavyoleta utani wakatu sisi tunaoneshana malavi davi, achana nao tuhamie kwenye PM maana hapa wamejaa mafisadi wa ndoa za watu.
Mkuu huwa unanipa zoezi la ku google kila post yako, thanks anyways nafikiri kigogo na crispin wawe wa kwanza kupatiwa hii kitu maana.
Kaka kwani mimi nimekuwa Bluray?
Kifupi Potassium Bromide is regularly prescribed to suppress the mens sexual feelings.
Hahahahaahahahahah
Masa,
Mbona sijakuona kutolea maelezo Washindi wa Noble Price wa jana? Maana nilikuwa naona vimikiamikia vya DNA na sijui upuuzi gani nikasema haya makubwa, nikajizimia TV na kuendelea na maswala mengine. Sasa ukiandika hayo, itabidi kijana Burn akamuulize Mganga wa Kinyeji wa Urambo yaani Mwalimu Juma.....
Hahahahaahha Burn ni mshikirikina sana siajabu amemwendea FL1 Bagamoyo! akitoka huko Tabaora
ha ha haaa!! Ina maana Burn anatumia NSAMBA??? Maana Nsamba ni Limbwata la Kiume la Wanyamwezi ati.......
Kaka kwani mimi nimekuwa Bluray?
Kifupi Potassium Bromide is regularly prescribed to suppress the mens sexual feelings.
Hahahahaahahahahah
naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u
![]()
umemvua na soksi!!!!!!!!! did i miss something here-now who is gonna survive-god have mercyBluray is the king wa misamiati..nimemvulia kofia na soksi......
thanks..naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u
![]()