Sonara
JF-Expert Member
- Oct 2, 2008
- 726
- 70
ooo bless you !!naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ooo bless you !!naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u
![]()
Ulilala nje nini? ... unasutwa na matendo yako?
NA NYIE WAPASHU MTU ASIUSEMEE MOYO KAMA MAPENZI YANAONGEEZEKA ULITAKA AKALE LIMAU...BASI MPM UFURAHI NA WEWE LOH!!!
so sweet of you manahalisi
thank you
Ans so sweet of you too darling.
Thank you!
Bluray is the king wa misamiati..nimemvulia kofia na soksi......
Chrispin ....!
mh nakuvulia kofia bado upo?
Nitafutie yule mdogo wako nae anipende maana jinsi ulivyo bomba napenda sana uwe ashem wangu, inaonyesha hata mdogo wako ni bomba kama wewe. Mimi sikutaki wewe kama wengine wanavyofanya hapa. Poa shem wangu wa ukweli
Imeandikwa mtua ataachana na baba na mama yake, ataambatana na mkewe nao wawili watakuwa mwili mmoja. Bado niponipo bana, endelea kuivua hiyo kofia, usiivae tena! Hahahahahah! Masa na Burn wameshafulia, na wewe ushavua kofia, namsubiria na yule polisi amwage manyanga nibakie peke yangu.
Chrispin naona na vifungu vya bible unavyo kws wingi endelea kutoa mistari
mkuu nina pingamizi na haya matokeo.Nimeonewa sana,nimedhalilishwa sana katika kinyang`anyiro hiki...mnadiriki kutangaza matokeo bila kuniuliza,nimetafakari sana,nimefikiria sana na nimeamua kuandika kupinga matokeo ya chrispin kuwa mshindi..tehhhh......and the winner is Chrispin.....!
the winner is my husband not Chrispin bwana masanilo😀......and the winner is Chrispin.....!
......and the winner is Chrispin.....!
mkuu nina pingamizi na haya matokeo.Nimeonewa sana,nimedhalilishwa sana katika kinyang`anyiro hiki...mnadiriki kutangaza matokeo bila kuniuliza,nimetafakari sana,nimefikiria sana na nimeamua kuandika kupinga matokeo ya chrispin kuwa mshindi..tehhhh
the winner is my husband Chrispin bwana masanilo😀
khaaa milifikia huku?.....mna mambo.