Leo nakutajia na kukuelezea aina 4 za kuku Asili(kienyeji pure) Kwa kina

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Itoshe kusema mko poa wakuu.

Leo nimeona si vibaya ni share nanyi Kwa uchache japo aina4 za kuku wa kienyeji japo najua/mnajua Kuna aina nyingi sana za kuku Hawa.

Mimi nitawajia Hizi aina 4 faida na hasara zao. Nitafupisha pale panahitajika tu.

Mjue ya kwamba sio rahisi sana kupata kabila halisi(pure breed)

1.KUCHI.

Hawa ni kuku wenye umbo kubwa,warefu wenye kusimamia wima.Kuchi Hana manyoSha mengi sana kwenye mwili wake hasa kifuani Wana modomo mifupi ama kama kasuku.

Jogoo kubwa hufika uzito wa kg3.5 hadi5 na mitetea kg2

Mayai ya Kuchi Yana uzito Wagram 45 ama zaidi au chini yake hii hutegemea na umbo la mtetea.

Kuchi Kwa uelewa wangu wanapatikana sehemu mbali mbali lakini Kwa huku Kanda ya Ziwa nimewaona sana biharamulo,chato ,geita na hata shinyanga.

IMG-20241215-WA0000.jpg
Muonekano wa kuku aina ya Kuchi akiwa Bado mdogo.
IMG_20220718_171638_622.jpg
IMG_20220718_171638_622.jpg

Jogoo la Kuchi.

2.Horasi(horashi)
Hawa ni aina nyingine ya kuku wa Asili. Aina hii ya kuku hutaga sana kuzidi Kuchi,Wanamanyosha mengi.

Umbo ni sawa na Kuchi wanatofautiana kwenye kusimamia tu ambapo Kuchi husimama wima kama anavyoonekana kwenye picha.
Ambapo Horasi husimama kawaida kama kuku wengine.

Uzito Kwa jogoo ni kg3-kg4. Mitetea huchezea kwenye kg2-2.8.

Ni walezi wazuri sana Hawa kuku na ni wakali huatamania na kutotoa Kwa ufanisi tofauti na Kuchi.
IMG_20230609_115124_473.jpg

IMG_20220929_174713_843.jpg

Majogoo aina ya Horasi
IMG_20240410_182146_367.jpg

IMG_20240410_182146_367.jpg

Huyu ni mtetea wa Horasi na haijaanza kutaga.Mayai ya horasi hufikia gram 56-62.

3.Singamazi(Rangi ya moto)
Kuku Hawa Wanajulikana Kwa jina la singamazi kutoka na Rangi zao kwani mara zote majogoo Huwa na Rangi ya moto (nyekundu inayo melemeta) Ni maarufu sana kwa jina hili huku kanda ya ziwa na Tabora.

Anapendwa sana na waganga wa kienyeji kwa mambo yao. siyo ajabu kuambiwa kalete kuku aina hii.

Kuku Hawa wanauzito jogoo Huwa na wastani wa kg2.9 Hadi 3.7. mitetea mara nyingi huishia kg2 tu.

Ni wazuri Sana hasa Rangi zao na umbo lao sio dogo Wala kubwa sana na Wana utajiri wa manyoya kiasi. Majike Yai lake hufika Hadi gram56-60!
IMG_20230318_083618_422.jpg

Jogoo aina ya Singamazi.

4.Rangi ya kanga.
Hawa ni kuku aina nyingine maarufu Kwa Rangi ya kanga maanaara zote wanakuwa na madoadoa kama kanga lakini sio kanga kabisa.

Sifa zao hazina tofaut kabisa na Singamazi ila kinachowapa utofauti ni Rangi. Pia namna ya kuwika Kwa jogoo huwika Kwa majonjo flani kuliko aina yoyote Ile ya kuku.

Jogoo la Rangi ya kanga Huwa wanakuwa wazuri sana kuwatumia kama alarm yaani kama anaanza kuwika saa9 alfajiri hata usiangalie saa atawika vile vile siku zote.

Hawa kuku ni wazuri Sana kutambua hatari na wako makini sana. Kuku Hawa ukilala Nje lazima wakuzunguke kukurinda ila ukiachama wanadonoa meno wakizani mahindi.

IMG_20220618_121633_976.jpg

Siyo rahisi sana kuona jogoo likiwa na Rangi ya kanga ni ngumu mno mara nyingi Rangi zake Huwa namna hii ama tofauti. Lakini majike mara nyingi huwa liwe la kanga ama lifanane na jogoo hapa Sina jike lakini kumradhi niwawekee kuku mwingine kama mbadala wale lengo ni kujua Rangi halisi ya kanga ni ipi.
IMG_20230408_162108_311.jpg

Hii ndo huita Rangi ya kanga lakini huyu hafikii Ile halisi.

Tambua ya kuwa:-Kila kuku anafaida zake na mapungufu yake pia.

MFANO Kuchi sio wazuri kwenye kutaga na kuatamia ila soko lake ni zuri sana pia nyama yake huvimba na Ina ladha nzuri zaidi japo hata ya Horasi si haba.

Hivyo ukiamua ufuge Kuchi itakupasa uwe na incubator machine ikusaidie kutotorosha mayai yake.

Horasi ndo kuku pendwa kwangu mana ni mzuri Kwa Kila sehemu utagaji yupo vizuri umbo ni kubwa anaatamia vizuri na ni mlezi mzuri pia.

Singamazi nae ni mzuri kwenye utagaji pia ni walezi wazuri utofauti ni mdogo sana kati ya Horasi na singamazi wao hawajaenda juu sana lakini ni wapana.

Rangi ya kanga kama nilivyo elezea vilevile ni wazuri Sana. Niwewe tu uchaguzi wako ufuge breed ipi na uache ipi. Au zote Kwa pamoja maana hawana shida kabisa.

Tuishie hapa Kwa Leo.

Karibuni Tujifunze pamoja Kwa maswali na nyongeza.
 
Itoshe kusema mko poa wakuu.

Leo nimeona si vibaya ni share nanyi Kwa uchache japo aina4 za kuku wa kienyeji japo najua/mnajua Kuna aina nyingi sana za kuku Hawa.

Mimi nitawajia Hizi aina 4 faida na hasara zao. Nitafupisha pale panahitajika tu.

Mjue ya kwamba sio rahisi sana kupata kabila halisi(pure breed)

1.KUCHI.

Hawa ni kuku wenye umbo kubwa,warefu wenye kusimamia wima.Kuchi Hana manyoSha mengi sana kwenye mwili wake hasa kifuani Wana modomo mifupi ama kama kasuku.

Jogoo kubwa hufika uzito wa kg3.5 hadi5 na mitetea kg2

Mayai ya Kuchi Yana uzito Wagram 45 ama zaidi au chini yake hii hutegemea na umbo la mtetea.

Kuchi Kwa uelewa wangu wanapatikana sehemu mbali mbali lakini Kwa huku Kanda ya Ziwa nimewaona sana biharamulo,chato ,geita na hata shinyanga.

View attachment 3176892Muonekano wa kuku aina ya Kuchi akiwa Bado mdogo.View attachment 3176893View attachment 3176893
Jogoo la Kuchi.

2.Horasi(horashi)
Hawa ni aina nyingine ya kuku wa Asili. Aina hii ya kuku hutaga sana kuzidi Kuchi,Wanamanyosha mengi.

Umbo ni sawa na Kuchi wanatofautiana kwenye kusimamia tu ambapo Kuchi husimama wima kama anavyoonekana kwenye picha.
Ambapo Horasi husimama kawaida kama kuku wengine.

Uzito Kwa jogoo ni kg3-kg4. Mitetea huchezea kwenye kg2-2.8.

Ni walezi wazuri sana Hawa kuku na ni wakali huatamania na kutotoa Kwa ufanisi tofauti na Kuchi.
View attachment 3176898

View attachment 3176899
Majogoo aina ya HorasiView attachment 3176900
View attachment 3176900
Huyu ni mtetea wa Horasi na haijaanza kutaga.Mayai ya horasi hufikia gram 56-62.

3.Singamazi(Rangi ya moto)
Kuku Hawa Wanajulikana Kwa jina la singamazi kutoka na Rangi zao kwani mara zote majogoo Huwa na Rangi ya moto (nyekundu inayo melemeta) Ni maarufu sana kwa jina hili huku kanda ya ziwa na Tabora.

Anapendwa sana na waganga wa kienyeji kwa mambo yao. siyo ajabu kuambiwa kalete kuku aina hii.

Kuku Hawa wanauzito jogoo Huwa na wastani wa kg2.9 Hadi 3.7. mitetea mara nyingi huishia kg2 tu.

Ni wazuri Sana hasa Rangi zao na umbo lao sio dogo Wala kubwa sana na Wana utajiri wa manyoya kiasi. Majike Yai lake hufika Hadi gram56-60!
View attachment 3176908
Jogoo aina ya Singamazi.

4.Rangi ya kanga.
Hawa ni kuku aina nyingine maarufu Kwa Rangi ya kanga maanaara zote wanakuwa na madoadoa kama kanga lakini sio kanga kabisa.

Sifa zao hazina tofaut kabisa na Singamazi ila kinachowapa utofauti ni Rangi. Pia namna ya kuwika Kwa jogoo huwika Kwa majonjo flani kuliko aina yoyote Ile ya kuku.

Jogoo la Rangi ya kanga Huwa wanakuwa wazuri sana kuwatumia kama alarm yaani kama anaanza kuwika saa9 alfajiri hata usiangalie saa atawika vile vile siku zote.

Hawa kuku ni wazuri Sana kutambua hatari na wako makini sana. Kuku Hawa ukilala Nje lazima wakuzunguke kukurinda ila ukiachama wanadonoa meno wakizani mahindi.

View attachment 3176911
Siyo rahisi sana kuona jogoo likiwa na Rangi ya kanga ni ngumu mno mara nyingi Rangi zake Huwa namna hii ama tofauti. Lakini majike mara nyingi huwa liwe la kanga ama lifanane na jogoo hapa Sina jike lakini kumradhi niwawekee kuku mwingine kama mbadala wale lengo ni kujua Rangi halisi ya kanga ni ipi.
View attachment 3176912
Hii ndo huita Rangi ya kanga lakini huyu hafikii Ile halisi.

Tambua ya kuwa:-Kila kuku anafaida zake na mapungufu yake pia.

MFANO Kuchi sio wazuri kwenye kutaga na kuatamia ila soko lake ni zuri sana pia nyama yake huvimba na Ina ladha nzuri zaidi japo hata ya Horasi si haba.

Hivyo ukiamua ufuge Kuchi itakupasa uwe na incubator machine ikusaidie kutotorosha mayai yake.

Horasi ndo kuku pendwa kwangu mana ni mzuri Kwa Kila sehemu utagaji yupo vizuri umbo ni kubwa anaatamia vizuri na ni mlezi mzuri pia.

Singamazi nae ni mzuri kwenye utagaji pia ni walezi wazuri utofauti ni mdogo sana kati ya Horasi na singamazi wao hawajaenda juu sana lakini ni wapana.

Rangi ya kanga kama nilivyo elezea vilevile ni wazuri Sana. Niwewe tu uchaguzi wako ufuge breed ipi na uache ipi. Au zote Kwa pamoja maana hawana shida kabisa.

Tuishie hapa Kwa Leo.

Karibuni Tujifunze pamoja Kwa maswali na nyongeza.
Umesema kuku wa Kienyeji mbona apo naona Machotara Mkuu
 
Nimewahi kuwafuga saivi Nina Horasi jogoo pekee mkuu wengine kawaida na Kuchi tetea
hakuna mrandi mzuri wa ufungaji kama huo maana kwa maana pesa huja wakati mfupi sana. Wazo la, mradi huo niliupata nilipo lima mahindi mashina 15000 nikalangulisha kwa 300 kwa kila mhindi nikapata 5.2m kumbuka kuna mahindi hutoa watoto wawili, mwaka uliokuja nikasema badala yakulima mahindi nalima kuku. Hesabu kwenye karatasi ilikubar nilikuja kukoma baada ya kuku wote kufa kwa ugojwa kabla ya mradi hujanilipa.
kuchaja nilichaja kwa mda kabsa ila walikufa tu. Mr wewe hutumia dawa gan
 
Back
Top Bottom