NACKO
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 1,298
- 2,514
ok, shukran sana mkuuNdio mkuu ndo niliowafuga kwa muda mrefu zaidi. japo kuna kishingo ,mbuni au kibutu, njachama nk sijawataja pia. sikuwa na picha zao. nikipata nitawaelezea vilevile hasa niliowahi kufuga tu