Mama ako kakimbia nyumba..Na we unataka unikimbie?..Shera ntakuletea usijali..Hasa sijui utalitumia wapi..Labda ufanye night dressMmh mkeo si yupo, niletee shera langu bana aiii
Teh kisa ndoa yako imekushinda ndo unataka tubaki wote home, Btw mkeo mbona leo Karudi. Wewe niletee jigauni hilo, sipati cameraaaaaMama ako kakimbia nyumba..Na we unataka unikimbie?..Shera ntakuletea usijali..Hasa sijui utalitumia wapi..Labda ufanye night dress
chai hiiSiamin hii habari
chai hii
Hahahahaaa umenifanya nipaliwe na kikohozi kwa kucheka...Jamaa kapiga bao moja chali hahahahahaha
Tunasubiri mrejesho je ulikuta ni kibamia au mhogo? Je alitumia masaa 2 kabla hajaachia Cha kwanza? Ama uliingia mp ghafla Na ikakatisha tamaa. Sibanduki Na Rafiki zangu rubii na @everlyn saltHabarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.
Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.
Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Umeona eeh, yaaani wanadamu hawana dogoHa haa hebu muacheni bibi harusi wawatu jamani. Yani mpaka mnamuhesabia time ya mgegedo lols
Saivi atakua kwenye kumbato mujaraabuUmeona eeh, yaaani wanadamu hawana dogo
Kama jamaa kimeeleweka, lkn kama si ridhiki watakuwa kwenye maombolezoSaivi atakua kwenye kumbato mujaraabu