Leo naolewa

Leo naolewa

Mama ako kakimbia nyumba..Na we unataka unikimbie?..Shera ntakuletea usijali..Hasa sijui utalitumia wapi..Labda ufanye night dress
Teh kisa ndoa yako imekushinda ndo unataka tubaki wote home, Btw mkeo mbona leo Karudi. Wewe niletee jigauni hilo, sipati cameraaaaa
 

Mkuu mbona huyu bi dada alijipigia promo sana muda mrefu? Alianzisha uzi wa kwanza akiomba ushauri kama inawezekana kuolewa bila mashine kutestiwa,kisha akaja na mwingine na mwingine tena wa kualika JF Member kumi wakiwa dabo kwenye sherehe hii! Nadhani muda huu ni kwaito tu ukumbini maana shughuli yenyewe alisema ni ya soda!
 
hongera sana na nakutakia kila la kheri ktk ndoa yako moniccca...
 
Bibie tunaomba mrejesho wa mgegedo wa jana please!.... Je umekutana na kibamia?ile hofu yako kuwa jogoo hawiki ilikuwa ni ya ukweli? Jamaa kakupiga bao ngapi?
 
Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.

Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.

Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Tunasubiri mrejesho je ulikuta ni kibamia au mhogo? Je alitumia masaa 2 kabla hajaachia Cha kwanza? Ama uliingia mp ghafla Na ikakatisha tamaa. Sibanduki Na Rafiki zangu rubii na @everlyn salt
 
Vipi monii shungulia basi kidogo huku utupe mrejesha kama jamaa yuko poa au lah
 
Kidaganda nani mdungayembe??????c lazima wanawake wote waolewe wengine wanabaki ili wasaidie na nyie wanaume ambao hamtaki kuoa
 
Back
Top Bottom