nimekosea mkuu....Kaaah hiyo hatari...
Hapana hiyo wish yako tu mi hoinimekosea mkuu....
Dah unaujasiri we dada fikiria wanawake wangapi wanaujasiri wa kutamka kuwa wanaolewa
Kwanini umeamua kuolewa?Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.
Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.
Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Monicca yuko busy na dyudyu acha kusumbua mkuu!!VIP monicca!!!?
Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.
Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.
Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Hapa sijakuelewa kinjio what do you mean? Kama siyo ridhiki mi ntasepa tena kwa speed kubwa sifuati chakula chake mim
Hongera sana,nami ntafuatia siku si nyingi kuingia kwenye ndoaHabarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.
Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.
Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Hahahaha au kaishazibitiwa tayari !!?Monicca yuko busy na dyudyu acha kusumbua mkuu!!
Kweli Kali ya mwaka hiiNatoka mikosi tu best