Leo naolewa

Leo naolewa

Kama uko kwenye akiri zangu vile ana ujasiri Wa hali ya juu sana , hata muda Wa kuingia humu sijui kaupataje,ila hongera zake
Dah unaujasiri we dada fikiria wanawake wangapi wanaujasiri wa kutamka kuwa wanaolewa
 
Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.

Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.

Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Kwanini umeamua kuolewa?
 
Kuna wenzako walikua wanasema jana kwamba hawatafua...hawata mpikia mume chakula...hawatadeki nyumba maana wataajiri housegirl !!

Vipi na wewe una mawazo kama yao????
 
Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.

Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.

Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Hongera sana,nami ntafuatia siku si nyingi kuingia kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom