Leo naolewa

Leo naolewa

Kila la heri katika maisha mapya...Hakika uliusemi wa walioko ndani wanapambana kutoka nje na walioko nje wanatamani kuingia ndani...Karibu ndani ya nyumba uje ujione machaguzi yale uliyoyafanya kama ni sahihi ama ulibug...
Bro ndoa tamuu bhana. When you get the right person ... Hahaaaaahaaaa.... Thanks..
 
Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.

Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.

Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
May the Lord bless your Union in Jesus name .. Amen.. Thanks...
 
Mwenzio hana furahaa, ana hofu ya kukutana na kibamia usiku wa leo!
May the Lord bless your Union in Jesus name .. Amen.. Thanks...
Mnahangaika kumpingeza wakati kila wakati anachungulia huku ila hajibu kitu Ili tusimshtukie, mi tangu namcheki kwenye profile yake amekuwa akiingia saa zote huku, huo muda anaupta wap siku Kama ya Leo,? Msisahau pia Ile stori ya juzi ilikuwa ya kutunga.
 
Leo ndo uhakiki utafanyika


Monnicca kwa uzoefu waangu, leo hautopata kitu mpaka kesho asubuhi, sherehe ya harusi inachosha akili sana, hata jamaa yako najua kichwa cha chini hakitatamani kwa leo
 
Baada ya harusi kuisha isiste kutupia japo ka image kamoja ka harusi kama mrejesho wa harusi yako
 
Back
Top Bottom