Leo naolewa

Leo naolewa

Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.

Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.

Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Tunashukuru ila nakuhusia huko uendako uache uchakubimbi na unafiki usipozingatia haya hautadumu katika ndoa yako
 
VIPI? MAMBO TAYARI?
KESHO UTULETEE MREJESHO WA MKESHA😀
 
JF imevamiwa wanamahoka kila siku na hekaya za abunuasi.
 
aiseee kweli wanaume tuna huruma....linda ndoa yako isiwe ilimradi
 
Daah sijui kwa nini sikukutafuta, ningekujaje kuotesha vigimbi leo na kwaito. Kila la kheri mwaya, Mungu awaongoze kwenye ndoa yenu
Last time nimemuaga Emoj sijamuona tena hadi leo..Ndoa zinaficha watu teh..Douta nimeghairi kukutafutia mchumba
 
Hahaha kwani harusi ya Emoj tayari? Wewe jiandae tu kunimiss, ntakuwa busy na hubby[emoji134]
Teh teh..Nahisi itakuwa tayari..Kama umezoea kusikia mawifi ndo wana ghubu basi tegemea kuona ghubu la daddy..Hadi honeymoon anaweza kung'ang'ania kwenda
 
Teh teh..Nahisi itakuwa tayari..Kama umezoea kusikia mawifi ndo wana ghubu basi tegemea kuona ghubu la daddy..Hadi honeymoon anaweza kung'ang'ania kwenda
Hahaha ushindwe daddy, usije niharibia ndoa mie. Nashangaa unaleta ubaba kumbena na wakati ulikuwa unanitimua home
 
Hahaha ushindwe daddy, usije niharibia ndoa mie. Nashangaa unaleta ubaba kumbena na wakati ulikuwa unanitimua home
teh teh..Baba kumbena haswaaa..Nimeghairi..Nimeona kumbe mkiolewa mnapunguza kujamiiana..Daddy atabaki mpweke
 
Back
Top Bottom