Senene wanapatikana bukoba bunazi na sehemu nyingine kulingana na hali ya hewa tu wako kama panzi mara nyingi wanakuwepo msimu wa masika mwezi wa 3/4 na wa 11/12 pia wanaharibika kulingana na ulivyo waandaa na utunzaji wako..
Senene wa kukuangwa anakaa hata miezi 3 lakini hakikisha yale mafuta wamekauka na kifaa kulikuwa hakina unyevunyevu lakini pia senene wakubanikwa hukaa sana kuliko hata kukaangwa usafi pia inasaidia senene kudumu