Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

[emoji23][emoji23][emoji23] sisi darasa letu tulikuwa mchanganyiko watu walikuwa wanarange kwenye 6 - 15
Ndio maana hujajua zamani walikuwa wanasoma wakiwa na umri mkubwa.

Kijijini ilikuwa ukimaliza shule ya msingi, unaenda kuoa moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…