Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unajifanya unajua kupiga hesabu ya umri na madarasa [emoji23][emoji23][emoji23]. Usichojua ni kuwa kuna wengine wanaingia la kwanza na miaka mitano wengine kumi na tatuNimefanya mahesabu ndio nikapata hilo jibu
Kumi na 5 ni watoto wa dot.com, zamani haikuwa hivyo.We unajifanya unajua kupiga hesabu ya umri na madarasa [emoji23][emoji23][emoji23]. Usichojua ni kuwa kuna wengine wanaingia la kwanza na miaka mitano wengine kumi na tatu
Hahahahaaaaa.sawa muhenga mwenzangu
JF inatufanya tupate heshima ambazo hatuzipati kwenye maisha ya kawaida huku [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ha ha ha ha
Kwa akili yako unafikiri uña stahili kuwa na masters?Uzamili (masters 2) na postgraduate in mgt na pia nimefanya mitihani ya bodi na kufuzu kwenye banking na procurement (CIPS)
[emoji23][emoji23][emoji23] sisi darasa letu tulikuwa mchanganyiko watu walikuwa wanarange kwenye 6 - 15Kumi na 5 ni watoto wa dot.com, zamani haikuwa hivyo.
Ndio maana hujajua zamani walikuwa wanasoma wakiwa na umri mkubwa.[emoji23][emoji23][emoji23] sisi darasa letu tulikuwa mchanganyiko watu walikuwa wanarange kwenye 6 - 15
[emoji106][emoji106][emoji106]Kwenye Maisha heshima ipo kama unafanya mema na una bidii ya kutafuta pesa
Babu hili swali ingependeza niulize mimi mwanamke (sorry)
Babu kwa utani hana mpinzani nadhani alitaniaMkuu huwezi jua, Wanaume tumekuwa wachache sana siku hizi