Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry kweli sikuiona. Weakness zipo ila ninajitahidi kujifunza jinsi gani ya kucontrol hata kwa kusoma. Mfano nilikuwa nashindwa ku-manage time ilibidi niende course Nairobi na nilisoma sana vitabu.Mkuu hujajibu swali post #425 narudia tena how do you handle your own weaknesses ?
Shikamoo
Hahahaaaa..!!Kwahiyo unapenda kuwa maskini?
Aiseeee...!!ha ha ha ina maana mimi ni maskini? nina Imani watanzania level yangu hawafiki asilimia 5 ila navyoona mie ingawa sijafika napotaka
Hujawahi kuumwa fangasi ,tonstis, kooni baada ya kunyonya papuchi?.Sana tu mnoo
HongeraNdio na nina watoto watatu
Aiseeee..Brother yuko njema ila jf ina siri nyuma ya keyboard
Hapo mmekutana,samaki na maji.
Aisee..Kama milioni 3.hivi ila nina mikopo pia so net inashuka chini ya hapo. Si unajua wajasiliamali na mikopo
SafiHapana. Kuku ukimchunguza sana humli. Halafu natafuta nn kwenye simu yake maana sina mpango wa kumuacha sasa kwa nn nijipe kisukari
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji54][emoji22][emoji22][emoji22][emoji46][emoji58][emoji3]Magu legeza kamba baba hali inazidi kuwa mbaya.
Nipe changamoto za huo ufugaji hasa satoSato na kambale tu
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Yes. She is my childhood friend na nilimuahidi kuwa nitamuoa toka niko form 6
Wewe mzee, mbona unauliza weww yote....?Ukidedi unapenda tukukumbuke kwa lipi?