Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Mkuu hujajibu swali post #425 narudia tena how do you handle your own weaknesses ?
Sorry kweli sikuiona. Weakness zipo ila ninajitahidi kujifunza jinsi gani ya kucontrol hata kwa kusoma. Mfano nilikuwa nashindwa ku-manage time ilibidi niende course Nairobi na nilisoma sana vitabu.

Pia anger mgt nimesoma sana vitabu. Kila weakness unayoigundua ifanyie kazi hata kwa kusoma vitabu vinavyoelekeza how to overcome it. Hivyo
 
Kwa nini umeendelea kuwa huntha hadi umri huu badala ya kuchagua jinsi moja kama wengi wa aina yako wanavyofanya kote duniani?
 
Yes. She is my childhood friend na nilimuahidi kuwa nitamuoa toka niko form 6
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

OK ulianza kuchepuka nae ukiwa na umri gani!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…