Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

OK ulianza kuchepuka nae ukiwa na umri gani!!!?
Toka niko form six
 
Hakuna mwanaume asiyechepuka ninaongea ukweli toka moyoni mwangu. Muhimu tumia kinga kwa ajili ya kujilinda wewe,mke, familia na taifa kwa ujumla. Tuache unafiki tuongee ukweli

Mkuu rekebisha hapo hakuna hapo sema wapo labda wachache
 
Naishi kwenye nyumba ina ukuta eneo lote na pia ni pakubwa sana majirani wako mbali sana
Hata jirani awe mbali lkn milango inatizamana. Unaweza ukapuuza huu ujumbe lkn ungeufanyia kazi ungeepusha mengi kama vile wife kuchukua hela ndani na kumpa mtu anywee pombe na kulipia gesti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…