Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Nimesoma.uzi wote, masuala kama Transgender, Ushoga yameibuka sana

Swali langu ni je, unafikiri ni kwanini umeulizwa sana kuhusu hayo?
 
Umeshawahi kuzama chumvini? Kama ndiyo. Kuna muonjo wa namna gani? Anaefaidika na tendo la kuingia chumvini Ni wewe au demu?
 
Watu wengi wanakiogopa kilimo sana, iliiuaje wewe ukathubutu kuingia huko? Na ulianza kulima heka ngapi na zao gani?
 
Back
Top Bottom