Leo Nape anaupiga mwingi...

Jinga sana yule hana lolote. Tukisema tuichunguze ccm na serikali yake wakati wa msoga gang na yeye akiwa itikadi na uenezi kuna atakayebaki? Au hajui kwamba watu tumefunika kombe ili mwanaharamu apite?! Jinga kabisa huyo.
Mkuu,
Lakini hayumo kwenye ripoti ya Bashiru Ally ya kuchunguza mali za chama kwasababu ni clean! Anafaa kuwa Presidential Material kwasababu ana ujasiri kama wa babake.
 
Kwani ubaya wa Nape kutaka uchunguzi wa hiyo mikopo na matumizi yake upo wapi?

Kwanini asihoji matumizi na thamani ya miradi iliyofanyika?

Wacheni huo unafiki wenu kisa legacy,hakuna legacy ya kulazimisha hapa duniani.
Umemsikia hata siku moja akihoji ESCROW , RICHMOND NA DOWANS?
 
Umemsikia hata siku moja akihoji ESCROW , RICHMOND NA DOWANS?
Hiyo siyo kazi yangu.
Naongelea hili alilosema la kuchunguza ufisadi uliofanyika awamu ya 5 kuna ubaya gani?
 
Mkuu ulitaka mpaka Nape auwawe na mrundi?
 
Hiyo siyo kazi yangu.
Naongelea hili alilosema la kuchunguza ufisadi uliofanyika awamu ya 5 kuna ubaya gani?
Ni kumchafua Marehemu tu. Hana Lolote yule.

Atuambie kwa nini Twiga wetu walikuwa wanapandishwa ndege.
 
Akipatia apongezwe na akikosea asemwe, there is nothing wrong with that. Mtu anachokifanya/anachokisema is what counts, kama ameongea yanayopaswa kupewa credit so let it be.
 
Ni kumchafua Marehemu tu. Hana Lolote yule.

Atuambie kwa nini Twiga wetu walikuwa wanapandishwa ndege.
Hakuna lolote awamu ya 5 ndiyo awamu inayo ongoza kwa ufisadi tangu tupate uhuru
 
Akipatia apongezwe na akikosea asemwe, there is nothing wrong with that. Mtu anachokifanya/anachokisema is what counts, kama ameongea yanayopaswa kupewa credit so let it be.
Upo sahihi kabisa kiongozi
 
Reactions: Qwy
Aliwa Wakati wa uchaguzi uliopita aliwahi kuomba aachiwe awavunje wapinzani wake miguu jimboni kwake. Alisema mambo ya amani hayo hayawabusu wao.
 
Uko sahihi Nape ni mnafiki mkubwa sana, anatafuta namna ya kutoka, na hii si mara ya kwanza, akishapata anachotaka anarudi nyuma na kuwaponda hao hao wanaomsifia.
 
Ukiwa huna chembechembe za unafiki maisha yako ndani ya CCM yatakuwa ni magumu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…