Na ikichunguzwa serikali ya awamu ya tano je serikali ya awamu ya sita itabaki salama,au alikuwa ana maanisha achunguze MagufuliJinga sana yule hana lolote. Tukisema tuichunguze ccm na serikali yake wakati wa msoga gang na yeye akiwa itikadi na uenezi kuna atakayebaki? Au hajui kwamba watu tumefunika kombe ili mwanaharamu apite?! Jinga kabisa huyo.
Hivi unawezaje ukaitenganisha vipi serikali ya awamu ya tano ni hii ya sita?Mjinga ni wewe unayetetea maovu ya mwendazake na kwa taarifa tu ni kwamba tayari taratibu zimeanza kuandaliwa ili tume ianze kuchunguza mikopo yote aliyo ichukua na value for money kwenye miradi.
Kwa sasa tunaongelea awamu ya 5...period....Hivi unawezaje ukaitenganisha vipi serikali ya awamu ya tano ni hii ya sita?
Madudu na mazuri ya awamu tano awamu ya sita imeshiriki kwa 100% .
Sawa,Ila ni walewale tu alichoharibu Magufuli na wao walishiriki,hakuna kukwepaKwa sasa tunaongelea awamu ya 5...period....
Tunazungumzia awamu ya 5Sawa,Ila ni walewale tu alichoharibu Magufuli na wao walishiriki,hakuna kukwepa
Ccm wanajua ni muda gani wa kucheza na akili za ufipa shamba la bwana heri mbuzi wa bwana heri!Nape kapiga kwenye mshono wa sukuma gang.
Nakuona upo kwenye ubora wako hapa kada wa chama.Ccm wanajua ni muda gani wa kucheza na akili za ufipa shamba la bwana heri mbuzi wa bwana heri!
Vipi nasikia baada ya kada mwenzako Hamza kuondoshwa wewe ndiye umeshika nafasi yakeCcm wanajua ni muda gani wa kucheza na akili za ufipa shamba la bwana heri mbuzi wa bwana heri!
Wazee wa matukio ccm ni moja!Vipi nasikia baada ya kada mwenzako Hamza kuondoshwa wewe ndiye umeshika nafasi yake
Kwahiyo ni kweli kuwa sasa ndiye kiongozi mkuu wa nafasi aliyo kuwa anaiongoza Hamza?Wazee wa matukio ccm ni moja!
Tafuteni ajenda ile ya ufisadi hamuwezi tena kuinena!Kwahiyo ni kweli kuwa sasa ndiye kiongozi mkuu wa nafasi aliyo kuwa anaiongoza Hamza?
Jibu kwanza tukupe hongera ya kuwa mrithi wa marehemu HamzaTafuteni ajenda ile ya ufisadi hamuwezi tena kuinena!
Ni kutokutumia akili tu. Maana yake anataka Rais na Makamu wake wachunguzwe!Na ikichunguzwa serikali ya awamu ya tano je serikali ya awamu ya sita itabaki salama,au alikuwa ana maanisha achunguze Magufuli
Hatuwezi kuwa mtu presidential material asiyetumia akili wala hekima!Mkuu,
Lakini hayumo kwenye ripoti ya Bashiru Ally ya kuchunguza mali za chama kwasababu ni clean! Anafaa kuwa Presidential Material kwasababu ana ujasiri kama wa babake.
Hilo nalo swali! Kwasababu alikuwa ana hofu ya kwenda kusikojulikanaWewe
ndiye Chawa na mnafiki,
Miaka yote mitano ya MAGUFULI alikuwa wapi asihoji?
Mtawezaje kufanya hivyo wakati aliyehusika na mikopo hiyo ni makamu? Mtapenyea tundu gani?Mjinga ni wewe unayetetea maovu ya mwendazake na kwa taarifa tu ni kwamba tayari taratibu zimeanza kuandaliwa ili tume ianze kuchunguza mikopo yote aliyo ichukua na value for money kwenye miradi.
Mtashitakiwa tu nyinyi majiziMtawezaje kufanya hivyo wakati aliyehusika na mikopo hiyo ni makamu? Mtapenyea tundu gani?
Msoga kitu gani bwana bwana yule ndio alizidi marais wooooteJinga sana yule hana lolote. Tukisema tuichunguze ccm na serikali yake wakati wa msoga gang na yeye akiwa itikadi na uenezi kuna atakayebaki? Au hajui kwamba watu tumefunika kombe ili mwanaharamu apite?! Jinga kabisa huyo.