Leo Nape anaupiga mwingi...

Leo Nape anaupiga mwingi...

Jinga sana yule hana lolote. Tukisema tuichunguze ccm na serikali yake wakati wa msoga gang na yeye akiwa itikadi na uenezi kuna atakayebaki? Au hajui kwamba watu tumefunika kombe ili mwanaharamu apite?! Jinga kabisa huyo.
Na ikichunguzwa serikali ya awamu ya tano je serikali ya awamu ya sita itabaki salama,au alikuwa ana maanisha achunguze Magufuli
 
Nape aliharibu tuta mwambia na akisema jambo la mantiki pia tunapaswa kumpa ushirikiano Kama wananchi wazalendo .

Kwa hili la kuhoji matumizi na ukubwa wa deni la taifa ni haki wananchi tujue, uchambuzi na uchunguzi wa kina ifanyike ili wananchi tujihusishe.

Tusimshambilie Nape , Tuishambulie hoja yake.
 
Mjinga ni wewe unayetetea maovu ya mwendazake na kwa taarifa tu ni kwamba tayari taratibu zimeanza kuandaliwa ili tume ianze kuchunguza mikopo yote aliyo ichukua na value for money kwenye miradi.
Hivi unawezaje ukaitenganisha vipi serikali ya awamu ya tano ni hii ya sita?
Madudu na mazuri ya awamu tano awamu ya sita imeshiriki kwa 100% .
 
Kwa sasa tunaongelea awamu ya 5...period....
 
Ukimuona kijana mnafiki akizeeka lazima awe mchawi.....
 
Ccm wanajua ni muda gani wa kucheza na akili za ufipa shamba la bwana heri mbuzi wa bwana heri!
Nakuona upo kwenye ubora wako hapa kada wa chama.
1046155915.jpg
 
Ccm wanajua ni muda gani wa kucheza na akili za ufipa shamba la bwana heri mbuzi wa bwana heri!
Vipi nasikia baada ya kada mwenzako Hamza kuondoshwa wewe ndiye umeshika nafasi yake
 
Na ikichunguzwa serikali ya awamu ya tano je serikali ya awamu ya sita itabaki salama,au alikuwa ana maanisha achunguze Magufuli
Ni kutokutumia akili tu. Maana yake anataka Rais na Makamu wake wachunguzwe!
Ujinga ni kitu kibaya sana.
 
Mjinga ni wewe unayetetea maovu ya mwendazake na kwa taarifa tu ni kwamba tayari taratibu zimeanza kuandaliwa ili tume ianze kuchunguza mikopo yote aliyo ichukua na value for money kwenye miradi.
Mtawezaje kufanya hivyo wakati aliyehusika na mikopo hiyo ni makamu? Mtapenyea tundu gani?
 
Jinga sana yule hana lolote. Tukisema tuichunguze ccm na serikali yake wakati wa msoga gang na yeye akiwa itikadi na uenezi kuna atakayebaki? Au hajui kwamba watu tumefunika kombe ili mwanaharamu apite?! Jinga kabisa huyo.
Msoga kitu gani bwana bwana yule ndio alizidi marais woooote
 
Back
Top Bottom