Tunguja
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 457
- 339
Na ikichunguzwa serikali ya awamu ya tano je serikali ya awamu ya sita itabaki salama,au alikuwa ana maanisha achunguze MagufuliJinga sana yule hana lolote. Tukisema tuichunguze ccm na serikali yake wakati wa msoga gang na yeye akiwa itikadi na uenezi kuna atakayebaki? Au hajui kwamba watu tumefunika kombe ili mwanaharamu apite?! Jinga kabisa huyo.