Leo nataka nikuambie siri moja kubwa sana kuhusu incubator za home made

Joined
Sep 11, 2018
Posts
44
Reaction score
58
Kuna jambo moja ambalo wafugaji wengi wanaoanza kufanya utotoleshaji wa mayai kwa incubator za kutengeneza wenyewe hulipuuza, lakini ndilo linaloamua kama mayai yatatotolewa au yataharibika.

Watu wengi huamini kwamba ukishakuwa na box, bulb na mayai basi tayari una Incubator.

Huo ndiyo mwanzo wa hasara.
Ukweli ni kwamba, Incubator sio kuwa na box... Incubator ni kwa  mfumo.
Kila siku napokea simu kutoka kwa wafugaji wanaosema:
"Nimetengeneza Incubator lakini mayai hayatotoleki."

Ukimuuliza maswali machache unagundua:
Hana Temperature Controller.
Hana mfumo wa kudhibiti unyevu.
Joto linapanda na kushuka bila mpangilio.
Mayai yanageuzwa kwa kubahatisha au hayasogezwi kabisa.

Mwisho wa siku anasema:
"Nadhani mayai yalikuwa mabovu."
Kumbe tatizo halikuwa mayai.
Tatizo lilikuwa mfumo.
Ndiyo maana wafugaji wanaopata matokeo mazuri hawaanzi kwa kutafuta box kubwa au bulb nyingi.
Wanaanza kwa kutafuta mfumo sahihi wa Incubator.

Mfumo huo unahusisha:
Temperature Controller
Humidity Controller
Egg Turning System
Fan ya kusambaza joto
Mpangilio sahihi wa joto na unyevu
Baada ya hapo, box linaweza kuwa la mbao, friji bovu au hata contena la plastiki lenye mfuniko mzuri.

Kwa sababu kinachototolesha mayai si box... ni mfumo uliomo ndani yake.
Ukielewa mfumo huu, unaweza kutengeneza Incubator ndogo ya mayai 30, 60, 90 au zaidi kwa gharama nafuu na kupata matokeo mazuri.
Sisi tunapatikana na vifaa mbalimbali vya kutengeneza Home Made Incubator, pamoja na maelekezo ya matumizi na ushauri.
🔹 Temperature Controllers
🔹 Humidity Controllers
🔹 Egg Turning Systems
🔹 Motors
🔹 Sensor mbalimbali za Incubator
Mwanza & Mbeya
📞 0657 923 089
Minimalist Furniture Product Catalog A4 Document_20260703_121012_0000.png
 
Kuna jambo moja ambalo wafugaji wengi wanaoanza kufanya utotoleshaji wa mayai kwa incubator za kutengeneza wenyewe hulipuuza, lakini ndilo linaloamua kama mayai yatatotolewa au yataharibika.

Watu wengi huamini kwamba ukishakuwa na box, bulb na mayai basi tayari una Incubator.

Huo ndiyo mwanzo wa hasara.
Ukweli ni kwamba, Incubator sio kuwa na box... Incubator ni kwa  mfumo.
Kila siku napokea simu kutoka kwa wafugaji wanaosema:
"Nimetengeneza Incubator lakini mayai hayatotoleki."

Ukimuuliza maswali machache unagundua:
Hana Temperature Controller.
Hana mfumo wa kudhibiti unyevu.
Joto linapanda na kushuka bila mpangilio.
Mayai yanageuzwa kwa kubahatisha au hayasogezwi kabisa.

Mwisho wa siku anasema:
"Nadhani mayai yalikuwa mabovu."
Kumbe tatizo halikuwa mayai.
Tatizo lilikuwa mfumo.
Ndiyo maana wafugaji wanaopata matokeo mazuri hawaanzi kwa kutafuta box kubwa au bulb nyingi.
Wanaanza kwa kutafuta mfumo sahihi wa Incubator.

Mfumo huo unahusisha:

Baada ya hapo, box linaweza kuwa la mbao, friji bovu au hata contena la plastiki lenye mfuniko mzuri.

Kwa sababu kinachototolesha mayai si box... ni mfumo uliomo ndani yake.
Ukielewa mfumo huu, unaweza kutengeneza Incubator ndogo ya mayai 30, 60, 90 au zaidi kwa gharama nafuu na kupata matokeo mazuri.
Sisi tunapatikana na vifaa mbalimbali vya kutengeneza Home Made Incubator, pamoja na maelekezo ya matumizi na ushauri.
🔹 Temperature Controllers
🔹 Humidity Controllers
🔹 Egg Turning Systems
🔹 Motors
🔹 Sensor mbalimbali za Incubator
Mwanza & Mbeya
📞 0657 923 089
View attachment 3621658
Sawa mkuu, Mbeya mnapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom