utotoleshaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Mazagazaga

    JamiiForums Tanzania Leo nataka nikuambie siri moja kubwa sana kuhusu incubator za home made

    Kuna jambo moja ambalo wafugaji wengi wanaoanza kufanya utotoleshaji wa mayai kwa incubator za kutengeneza wenyewe hulipuuza, lakini ndilo linaloamua kama mayai yatatotolewa au yataharibika. Watu wengi huamini kwamba ukishakuwa na box, bulb na mayai basi tayari una Incubator. Huo ndiyo mwanzo...
  2. Frank Mazagazaga

    JamiiForums Tanzania VITU TISA - Ufugaji na utotoleshaji Mayai (Homemade incubators)

    VITU TISA Kutotolesha mayai si kuweka mayai kwenye boksi lenye taa joto, kama ambavyo Wengi wanajaribu kufanya na kusubiri siku 21: Tengeneza mfumo. Ni vitu tisa. Kwa sababu hapa, tunatengeneza mazingira yanayoleta uhai ndani ya mayai ya kuku, na uhai una tabaka, na kila tabaka hutaka...
  3. Frank Mazagazaga

    JamiiForums Tanzania SIO LAZIMA UWE NA MILIONI ILI UTOTOLESHE MAYAI – WAKATI MWINGINE UNAHITAJI TU KUONESHWA NJIA SAHIHI KAMA MIMI

    Wakuu wa JF, habari za kazi na maendeleo. Miaka ya nyuma nilikuwa naamini kutotolesha mayai ni kwa watu wenye incubator za bei mbaya – zile za laki mbili mpaka milioni. Nilikuwa natamani sana kufuga kuku kwa njia ya kisasa lakini nilikwama mara kwa mara kwa sababu ya bajeti. ○●○ Mpaka...
  4. Frank Mazagazaga

    JamiiForums Tanzania Tengeneza Incubator Yako kwa gharama (W1219 Digital Thermostat) – Step by Step na Msaada Bure!

    Habari wana Jamii Forums, Kama wewe ni mfugaji wa kuku au unapenda kujaribu idea mpya ili kukuza ufugaji wako kuwa wa kibiashara inayolipa, basi hii post ni kwa ajili yako. Leo nakushirikisha kuhusu kifaa kinachoitwa W1219 Digital Temperature Controller — ambacho kinasaidia sana kutengeneza...
Back
Top Bottom