Frank Mazagazaga
Member
- Sep 11, 2018
- 44
- 58
Habari wana Jamii Forums,
Kama wewe ni mfugaji wa kuku au unapenda kujaribu idea mpya ili kukuza ufugaji wako kuwa wa kibiashara inayolipa, basi hii post ni kwa ajili yako.
Leo nakushirikisha kuhusu kifaa kinachoitwa W1219 Digital Temperature Controller — ambacho kinasaidia sana kutengeneza incubator za kutotolesha mayai nyumbani au kwa kutumia materials yanayopatika katika mazingira yako hapa nazungumzia vitu kama, Box gumu, au fridge bovu, taa ya joto wats 40, au 60, pamoja na hiki kifaa W1219.
Hiki kifaa
✅ Kinadhibiti joto ki-automatically
Katika utotoleshaji wa mayai ya kuku au bata uwa kuna joto maalumu linalotakiwa ili kusababisha kiumbe/kiini tete ndani ya yai kukua na mwisho wa siku kuwa kifaranga kamili. Joto hili uwa ni 37.5°c. Sasa kifaa hiki kina SENSOR maalumu inayohakikisha joto linakuwa balanced, kwaiyo kitawasha taa ya joto pale joto litakapokuwa bellow 37.5°c na kitazima taa pale joto litakapokuwa over 37.5°c.
✅ Kinatumia umeme wa kawaida (12VDc)
✅ Kinaweza kutumika hata kwenye box au friji au plastic yeyote yenye umbo zuri kwa ajili ya kuwekea mayai.
Naweza kukuelekeza bure jinsi ya kutengeneza incubator yako hata kama hujawahi kufanya wiring au kutotolesha mayai kabla.
🔹 Kama unataka:
●○Kuanzisha incubator ya mayai 30–100 nyumbani. Unaweza kuwa kila baada ya mda fulani unatotolesha idadi kadhaa ya vifaranga.
●○Kufuga kuku kwa njia ya kisasa, hapa hausubiri mpaka kuku kulalia mayai. Unakuwa mbele ya muda kidogo kuku jukumu lao linakuwa ni kutaga tuu. Kutotoa unatotolesha kwa incubator iliyotengenezwa kwa Gharama nafuu kabisa kwa kutumia material yanayopatika katika mazingira yako nyumbani.
Kujifunza kwa hatua na picha/video,
📲 Nicheki WhatsApp moja kwa moja kwa picha, video, na ushauri bure kabisa
📞 0657923089
#Incubator #UfugajiWaKisasa #incubator ya kutengeneza mwenyewe #W1219 #BiasharaNdogo #JamiiForums #Fursa