Leo nataka niwaeleweshe juu ya ishu ya "vacancy not budgeted" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe

Leo nataka niwaeleweshe juu ya ishu ya "vacancy not budgeted" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe

Halafu ilivyo, leo unaweza omba ikasema not Budgeted, kesho akaomba mwingine ikakubali...

Same to instution unayotaka kwenda, same qualifications and experiences leo unaweza kataliwa, kesho mwingine akapata...
Wataalam tupeni madini..ni I husababisha?
Mmmh sio kwa mfumo huo mkuu. Kuna jamaa anahangaikia Taasisi fulani toka Mwezi April hadi leo bado anakutana na Vacancy not budgeted, si usiku si mchana Ngoma ni hiyohiyo
 
Hizi nyuzi za namna hii tulishazikataa hapa jamii forum. Hili sio jukwaa la watoto wala mzaha kama facebook na kwengine.
 
Back
Top Bottom