Leo nataka niwaeleweshe juu ya ishu ya "vacancy not budgeted" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe

Mmmh sio kwa mfumo huo mkuu. Kuna jamaa anahangaikia Taasisi fulani toka Mwezi April hadi leo bado anakutana na Vacancy not budgeted, si usiku si mchana Ngoma ni hiyohiyo
 
Hizi nyuzi za namna hii tulishazikataa hapa jamii forum. Hili sio jukwaa la watoto wala mzaha kama facebook na kwengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…