Leo nataka tufahamiane wakuu...! sababu wote ni ndugu:

mafoleni

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
220
Reaction score
371
Yaan huu mtandao ni watu wa kupenda siri kama Freemasons vile, jina fake, picha fake hata nikiuliza makazi lazima nitapewa fake tu! mna siri gan nyinyi?
*HAYA LEO NAOMBA KUWAJUA WA MKOA WA PWANI* KIBAHA NA WILAYA ZA JIRANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naitwa ulong'a natokea kibiti boss.
 
Tatizo la kutumia mitandao kwa muda mrefu ni kujihisi upo attached nayo, utatamani kila unachofanya mitandao ijue na mwisho wakujue wewe mwenyewe.

Mbaya zaidi ni kujikuta unataka affection kutoka kwenye hii mitandao, ndiyo unakuta mtu anaandika uzi wa kutunga na stori za kumwaga.
Mwingine ndiyo huyu hapa anataka kujianika tumjue lakini hadi wenzake nao wajianike.

Rookie mistake
 

Unaonaje ukianza na hao Freemasons kwanza.
 
Aaah naona njia ya kuwasaka wahalifu kwa jf
Sahau [emoji111]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…